Ubaguzi Je waliosoma PCM? ECA? Political science? waelekeze kwa kwenda
Hapana ndugu nadhani hawa wanataka kuanzisha network yao Sociology "Birds of a Feather Flock Together".... ni kama watu singles walivyo na network yao au watu wa technology... sasa wewe wa ECA ukiingia hapa mtakuwa amuelewani.
Mimi ni volunteering sociologist.....nimekua induced na spouse wangu....
acha fujo.
:ranger:
:Cry::Cry:mis u mbayaaaaaaaa nalia machungu yapungue...