umesoma SOCIOLOGY?

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
Hii nimeiona mahali nikaona ni vema kuiweka hapa.
Kwa heshima na taadhima, naomba kwa wale wote waliosoma degree ya sociology kwa ngazi yoyote, iwe ni Tanzania au nje ya nchi bila kujali ni mwaka gani, bora tu ni sociologist, nitumie email address yako kwenye jucharl@yahoo.com. ni kwa mema tu na si kwa mabaya. Mengine yote tutawasiliana hukohuko kwenye email utakayotuma. Labda tu kwa kutoana uoga ni kwa ajili ya social n professional networking ambayo itakuwa useful kwa kila mmoja wetu. Ukiona tangazo hili mwambie na mwenzio unaeyemjua hata kwa simu ili tuwe na network kubwa. Asanteni.
Kama una swali uliza kwa kutumia email hiyo na utajibiwa.
 
kwanini unataka by e-mail kwanza ndio ueleze? na wewe kusema watu wasiogope y hujapost brief description ya unachotakia e-mail zenu
 
Nimetuma kwa email hiyo nilichikipata ni.......

<H3>There was a problem!

The recipient info doesn't seem quite right. Please look it over and try again.


</H3>
 
Nimetuma kwa email hiyo nilichikipata ni.......

<H3>There was a problem!

The recipient info doesn't seem quite right. Please look it over and try again.


</H3>

lazima utakuwa umekosea, mbona nimetuma na ikaenda? na nimejibiwa baada ya kuuliza maswali niliyokuwa nayo
 
Back
Top Bottom