Umesoma Chuo Kikuu Wapi?

Dah BAF umenikumbusha mbali nilishauriwa nikasome BAF mzumbe dah nikaona mambo ya accounting Siyawezi
Kipindi hiko chuo ni cha moto, LGAF, huku BAAF moto juu ya moto. Sikupata GPA kubwa ni 3.4 nikapata zali la mentali kunyanyuka zangu Majuu. Enzi za JAKAYA hizoooo.
 
Tuambie Chuo ulichosoma huenda ukakutana na classmate wako ambaye ukutarajia kukutana nae
Mkabadilishana number na kupeana michongo ya maisha
Hii itakuwa njia moja ya kukutana na classmate wako

Je umesoma chuo gani? Na mwaka gan umemaliza ?

Teofilo Kisanji 2012
 
Kwani hamna magroup ya Whatsapp ? Eboo msitusumbue mambo ya Facebook mnayaleta huku
 
Kwani na Tanzania kuna vyuo? Wengine hata kiingereza kinawapa tabu 😆 kiswahili hivyo hivyo, cjui lugha ipi wanaijuwa
 
SAUT ALUMN 2019 LLB Hons.
PGDLS Law School of Tanzania
LLM OUT International Law
Currently Phd SAUT Mineral & Petroleum Law chini ya Prof Costarica Mahalu na Dr George Mwaisondola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…