Kwa ujumla wasafi wote huwa hawapendi kujenga bifu na wasanii wa Tz kwa sababu wapo level tofauti ,So kujenga bifu itakuwa kama wanajishushia heshima tu ndio maana hata uwatukane vipi wanakuangalia tu na wanakupotezeaharmonize hanaga kelele ndicho nnachompendea..
huyu kaka kweli alienda jandoni.
hawa wengine jando la mwananyamala na amana hawajielewagi