Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,414
- 56,090
Ila kama imekuelewa sana we mdate ila sasa muweke ktk angle ambayo haelewi kama Kuna future au hamnaHata mimi na rekodi ipo tukio la moto kabisa la Geon ya leo pisi ikilalama sikuitafuta.
Ila kama imekuelewa sana we mdate ila sasa muweke ktk angle ambayo haelewi kama Kuna future au hamnaHata mimi na rekodi ipo tukio la moto kabisa la Geon ya leo pisi ikilalama sikuitafuta.
Sasa nyie mpo 800++ plus wale kandoto hata wakija wote hawatoshiKandoto girls mkuu😁
Pitia story za uzi wa mitongozo story ipo hii ni muendelezo tu.Tupe story mkuu.
Mbona unamwaga nanii penye kenge wengiPitia story za uzi wa mitongozo story ipo hii ni muendelezo tu.
Aliyekuelewa anifafanulie tafadhaliNikiwa form three, kuna jamaa aliniomba nimbembelezee mdada fulani anaempenda,
Wakati twarudi shule nikafata nikambembeleza, nadhan kwa vurugu za watu, hakua ananiskia vizuri.
Kesho yake, rafiki yake ananifata ananambia kama mbona sijamwambia siku zote kama nampenda yule dada, hee nikashangaa ila nikaona gari limeniangukia.
Nimamwambia nilikua nahofia, basi akanambia mwenzio amekubali nae anakupenda.
Mapenzi yakanzia hapo, kimbembe ilikua jinsi ya kumjuza jamaa nagu alienituma ..
Itaendelea..
Huyu hapana kabisa nna sababu zangu. Shida anashindwa kujiongeza simzingatii kabisa lakini haelewi namimi sitaki kumwambia simpendi na simuhitaji direct.Ila kama imekuelewa sana we mdate ila sasa muweke ktk angle ambayo haelewi kama Kuna future au hamna
Kwa hiyo mkuu mm ni kenge😁😁😁Mbona unamwaga nanii penye kenge wengi
Kaka am singo againMbona unamwaga nanii penye kenge wengi
Kuna joinland pia mkuuSasa nyie mpo 800++ plus wale kandoto hata wakija wote hawatoshi
Mwaka 2002 niliwahi pendwa na binti ambaye niliamua kutuliza kiu yake.
Baada ya hapo siaonana naye mpaka leo lkn vurugu alizonazo kunisaka utadhani nilimpa mimba.
Ni piga block,hata baada ya miaka 6 ikitokea nikabadili simu akinitafuta lazima anipate na malalamiko mengi.
Miaka ya 2016 nikiwa Tanga kumbe yeye alikuwa Arusha,acha atume nauli kila baada ya miezi miwili,zikaliwa na kuliwa.
Nikapiga block,mwaka jana kanisaka tena, nilivyomtambua tu nika block.
Hapa sasa we chukua likizo ya mapenziKaka am singo again
Maisha ya uboyzn bn hayasahauliki kirahisKuna joinland pia mkuu
KivipiHapa sasa we chukua likizo ya mapenzi
View attachment 2992881ik chuma hakijawah kukubal kua sikihitaj uspojibu msg znashuka kama mvua kila anachoongea simwelew kibaya zaid nlpga mara moja hata show yenyew skuielewa sasa yeye ndio kafika 💀
Kula kimya kimya ila washkaji wasimjue maana wakimjua itakua kipengeleHuyu hapana kabisa nna sababu zangu. Shida anashindwa kujiongeza simzingatii kabisa lakini haelewi namimi sitaki kumwambia simpendi na simuhitaji direct.
Hapana kula hiyo mama LaafikiKula kimya kimya ila washkaji wasimjue maana wakimjua itakua kipengele
Ina kasoro gn?Hapana kula hiyo mama Laafiki
Kwanza ni mweupe pee afu simuelewi kabisaaa.Ina kasoro gn?