Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Thanks

Huu wimbo sitausahau....

Maana binti WA watu sijui alinipendea nn
Hata mimi mtu akiniambia ananipenda huwa najiuliza amenipendea nini, kwahiyo huwa nahisi kama kila anayeniambia ananipenda ananidanganya tu, ndio sababu sitaki kuhangaika na mtoto wa mtu nisije nikaingia mzima kumbe mtu alikuwa anataka kupoteza zake muda tu
 
Hata mimi mtu akiniambia ananipenda huwa najiuliza amenipendea nini, kwahiyo huwa nahisi kama kila anayeniambia ananipenda ananidanganya tu, ndio sababu sitaki kuhangaika na mtoto wa mtu nisije nikaingia mzima kumbe mtu alikuwa anataka kupoteza zake muda tu
Ni kweli, kuepuka kuingia mkenge...
 
Ishanikuta hii,na iko active mpaka sasa,dada wa watu ananipenda mnooo.Kwa upande wa kipato namzidi zaidi ya mara 4.Sura yangu sio ya mauzo.
Lakini yeye ndo amekuwa kinara wa kunihonga,anajilipua mwenyewe kwa nauli yake kunifuata niliko umbali 1000km+.
Sina mpango nae lakini daah,kang'ng'ana.
Mzeee dhambi hii 1000plus hii sio dara paka tabora hivi


Mwambie ukweli
 
Kiujumla nakaa na mwanamke ambae uvumilivu wake hkn mfano na aitokei anajua simwelewi lkn love aliyo nayo kwangu siwez simultaneously MUNGU anajua kwanza

Anamlea mwanangu nishalala sana nje amekaa sana na njaa anasema niruke ruke weeeh nikichoka niseme lkn awez kuniacha

Nadhani sabb kuu ya hii yote ni kwamba huwa sina hbr nae lkn huwa NAMTOMB* sana vzuri yaani then napita hv.

Kuna wadada wanapenda nyie acheni tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uli skonga wap mkuu😁😁 pale ni kiumeni mkuu ,hakuna maji wala kuoga ila tulikua tukipata mitoko na shule ya kike tuna waka kinyama.
Sisi tulikua watoto mjini wewe😁nyie pale hamna shule za maana za dadaz, sisi tulikua tunaita Ashira, Weru weru, Mawenzi, majengo, Machame, Msufini oyaaa 😁😁hzo bahasha, hlo disco nkikumbukaga aiseee acha tu
 
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe tunawasiliana.

Mwanamke mwenyewe alikuwa mzuri tu, kwahiyo sikumkatalia nilimkubalia kiubishi bishi lakini kutokana na matendo yangu alijua simpendi lakini hakuniacha, ila mbeleni nilimchana ukweli kama simpendi tukaacha but aliumia sana na mimi sikujali nikapotezea, sasa cha ajabu baada ya muda mrefu kupita ni kaanza kumpenda lakini kwa sasa ameshaolewa ila bado ananipenda nasiwezi kumludia kwasababu kaolewa.

Je, na wewe ushawahi kupendwa na mwanamke usiyempenda? Kama umewahi tueleze ilikuwaje na nini uliamua.
Yupo ndio ila dah akinipigia simu au kutuma ujumbe najisikia vibaya sana halafu ameniambia nikimuacha atajidhuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom