Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,557
- 88,561
Sawa ndugu mwanasaikolojiaSio kila anaehitaji msaada anajua kwamba anahitaji msaada.
Sawa ndugu mwanasaikolojiaSio kila anaehitaji msaada anajua kwamba anahitaji msaada.
Ndo maisha.Mimi ndio maana sihangaiki kupenda mtoto wa mtu, yani wewe uko serious unampenda kumbe mwenzio anakuona lofa na fala tu, hakuna vitu sipendi kama kuchukuliwa poa na kufanywa mjinga kwa kutenda wema
Duh, huu mwandiko mbona kama wa Mwansheria!☺️Mkuu kwa dunia ya leo kama tu kuna watu wanafanya ngono, na hawaitani wapenzi wanaitana friends with benefit sijui kulana kimasihara, sembuse ambao hawafanyi kabisa hao si kama kaka na dada tu
Joking mkuu.Ohoo uzi unanitokea puani
Haitategemea chochote.Hapana Itategemea 😀😀
Same to me. Hata niinyanyue na mikono haisomi 6G Japan!Joking mkuu.
Hiyo inatokea mbona, me ilinitokea sema dembkama sijamuelewa kumla nashidw sijui kwa nn
Hapana labda kama hawakuwahi kuniambia, lakini sijawahi kutake advantage ya mapenzi ya mtu, kama mtu simpendi namuambia tu ukweli wala simfichiNdo maisha.
We mwenyewe kuna watu umewapuuza.
au ndo uhandsome🤣👐 tuache dharauSame to me. Hata niinyanyue na mikono haisomi 6G Japan!
Haha kwanini mkuu?Duh, huu mwandiko mbona kama wa Mwansheria!☺️
Pole mwaya.Nilimpenda sanaa akanitumia msg ndefu ya kuniacha, nikamuuliza vipi akasema Sina mvuto!
Here I go...!🤸
🤣na sisi tunaoitana bestie tupo kwenye kundi hilo?Mkuu kwa dunia ya leo kama tu kuna watu wanafanya ngono, na hawaitani wapenzi wanaitana friends with benefit sijui kulana kimasihara, sembuse ambao hawafanyi kabisa hao si kama kaka na dada tu
Hizo kama wapo watu, wanafanya, bila kuwa wapenzi..... 😂Haha kwanini mkuu?
Hamna hata kama kaoga ila utahisi harufu tu!au ndo uhandsome🤣👐 tuache dharau
Kuna wimbo mmoja unaimbaNiliyenaye kwa sasa . Yani najaribu kujilazmisha nimpende lakini wapi . Kiufupi unafki mimi siwezi. Najitahidi mno kumwonesha na mpenda lakini bado sana najisahau hata wiki mbili hatafutwi na nikijitetea kidogo tu anaelewa yaani hata mwezi na inapita yeyetu ndio ananitafuta.
Huyu mwanamke ni mzuri tu. Kielimu yupo vizuri ana adabu na heshima kama zote .
Nimejaribu njia nyingi sana akate tamaa lakini wapi. Nimezaa na mwanamke mwingine nimemwambia ili aniache lakini wapi.
Kwa sasa najitahidi tu kumpa siri ya navutiwa na vitu gani sana kwa mwanamke ili avifanye au kuvaa ili nidate
Lakini bado sijui kama atatoboa .
Hivi huyu nikimwoa sinitamtesa sana maana yeye kachizika ila mimi hamna kitu japo ni mrembo na ana shepu
Dooh kweli dunia yaenda resi kumbe kuna na mnaoitana bestie tena🤣na sisi tunaoitana bestie tupo kwenye kundi hilo?
Kaimba Passenger Unaitwa Let Her Go 🙂🙂Kuna wimbo mmoja unaimba
Cause you only need the light when it's burning low
Only miss the sun when it starts to snow
Only know you love her when you let her go
Only know you've been high when you're feeling low
Only hate the road when you're missing home
Only know you love her when you let her go
And you let her go
Sijui kaimba Nani....
ephen_ nisaidie Kama unaujua
Ulimpa nn???Mwaka 2002 niliwahi pendwa na binti ambaye niliamua kutuliza kiu yake.
Baada ya hapo siaonana naye mpaka leo lkn vurugu alizonazo kunisaka utadhani nilimpa mimba.
Ni piga block,hata baada ya miaka 6 ikitokea nikabadili simu akinitafuta lazima anipate na malalamiko mengi.
Miaka ya 2016 nikiwa Tanga kumbe yeye alikuwa Arusha,acha atume nauli kila baada ya miezi miwili,zikaliwa na kuliwa.
Nikapiga block,mwaka jana kanisaka tena, nilivyomtambua tu nika block.
ThanksKaimba Passenger Unaitwa Let Her Go 🙂🙂
Hapa umeniacha njiapanda kidogo mkuuHizo kama wapo watu, wanafanya, bila kuwa wapenzi..... 😂
Ni kama ile kwa kuwa ulipendwa, lakini hukuwa na hisia naye, na kwa maana hiyo hukumweleza,.mliishia wapi na yeye!
Kijana wa masandale hukupata zali la usangeni?Ilishawahi nitokea , kuna wadada wawili walikua barabarani mmoja ni mkali kinyama ndie nilie mpenda wa pili ni mmasai mmoja mwenye sura yake personal.
Lengo langu niwafuate niombe no ya yule pisi ,ili kutomfanya yule mwingne asijiskie vibaya nikajifanya kuomba no zao wote, mbaya zaidi asiye kwenye lengo ndio akajitia kiherehere cha kunipa no ,yule pisi yeye kimya tu , nikaichukua kishingo upande ,,nikajua kwa sababu ni marafiki naweza pata ukaribu na huyo, ila lengo nisijempoteza yule pisi kupitia mwenzake.
Kufupisha tu ni kwamba yule dada wa kimasai aliniganda hatari zaidi ya mwaka , ili kutomfanya asijisikiie vibaya sikudhubutu kumwambia ukweli , nikawa nawasiliana nae kishingo upande ,alipo kuja kuharibu zaidi alinitambulisha kwa yule pisi kama mimi ni mtu wake, na ile pisi ikawa inaniita shem.
Hali ilizidi kuwa mbaya zaid pale nilipotambulishwa umasaini ikafika hatua mpka kaka wa binti walipo diriki kutamka watanipa n'gombe 100 .
Kilichonifanya nikaingia mitini kabisa ni pale binti alipo fikia hatua ya kutaka kunitunuku zawadi ya bikra yake na akaniambia hiyo kwao ni zawadi kubwa kabisa ya kimila .
MpKa Leo sikuwahi kukutana na pisi kali kama yule rafiki wabinti wa kimasai , nilikuja kupata fununu karudi kwao Rwanda baada ya kumaliza masomo yao pale KCMC .