PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,573
- 9,074
PointTatizo wanaume wengi wanapendwa na wanawake wasiovutiwa nao
PointTatizo wanaume wengi wanapendwa na wanawake wasiovutiwa nao
Aseee! 😁 Una bahati mkuu huyu hawezi kukusaliti kamweee!Ki ukweli mke ninaye ishi naye sijawahi kumpenda , sababu zinazo fanya niwe naye ni -
*Tatizo kubwa ni Mimi Sina upendo naye .
- Anaheshima
- Ana care
- Aliwahi kujitoa kumuongezea damu bibi yangu na kumuhudumia mpaka kumuogesha kipindi bibi anaumwa
- Kuna kipindi alifuma sms nikiwasilana na mwanamke mwingine,ALIKUNYWA SUMU ila tulimuwahi.
- Wazazi na ndugu huwaambii kitu kuhusu huyu mwanamke.
- Nimezaa naye mtoto.
Hahaha aseeeniliwahi kupendwa na schoolmate wangu, wakati mimi sina hata mpango naye kichwani kabisa kabisa. alihangaika mno, nilikutana naye miaka kama 5 baada ya kuachana shule, sote tumeshamaliza vyuo, akajua sijaoa na alikuwa ananifahamu mno tangu tukiwa shule, alikuwa mtu wa karibu mno shule, anazijua tabia zangu. nilijifunza wanawake akikupenda anaweza kutumia garama kubwa asile hata chakula ila akununulie vitu wewe, nikikutana naye alikuwa anatia huruma, na alilia mno aliposikia naoa.
ajabu yake, mke wangu niliye naye alikuwa ananipenda zaidi kuliko hata huyo classmate, na mimi nilimpenda na naendelea kumpenda. nawashauri vijana, ukitaka kuoa, oa mwanamke anayekupenda zaidi ya wewe unavyompenda, huyo atakuvumilia. all in all, hawa wanapatikana kwa Mungu, ukimwomba Mungu atakupa yule atakayekuvumilia na kukupenda kwa moyo hata kwenye mapungufu na madhaifu wa mwili n.k. mwanamke asipokupenda hata ukimwoa anaweza kutembea hata na houseboy wako, na anaweza kukuletea vimbwanga ukafa hata kabla ya siku zako.
Soma mwenyewe mwendelezo😎😎Nikiwa form three, kuna jamaa aliniomba nimbembelezee mdada fulani anaempenda,
Wakati twarudi shule nikafata nikambembeleza, nadhan kwa vurugu za watu, hakua ananiskia vizuri.
Kesho yake, rafiki yake ananifata ananambia kama mbona sijamwambia siku zote kama nampenda yule dada, hee nikashangaa ila nikaona gari limeniangukia.
Nimamwambia nilikua nahofia, basi akanambia mwenzio amekubali nae anakupenda.
Mapenzi yakanzia hapo, kimbembe ilikua jinsi ya kumjuza jamaa nagu alienituma ..
Itaendelea..
Ni mjaluo!Ni mzuri mkuu, tako lipo?
Kwaiyo mbovu sio!Ni mjaluo!
Wajulio si unawajua!!!Kwaiyo mbovu sio!
Hapana siwajui nawasikiaga tuWajulio si unawajua!!!
Ni kama wanaume!Hapana siwajui nawasikiaga tu
Huenda ile pisi ya kirwanda ilikua ngeni so iliogopa. Wewe ungeforce pale pale.Ilishawahi nitokea , kuna wadada wawili walikua barabarani mmoja ni mkali kinyama ndie nilie mpenda wa pili ni mmasai mmoja mwenye sura yake personal.
Lengo langu niwafuate niombe no ya yule pisi ,ili kutomfanya yule mwingne asijiskie vibaya nikajifanya kuomba no zao wote, mbaya zaidi asiye kwenye lengo ndio akajitia kiherehere cha kunipa no ,yule pisi yeye kimya tu , nikaichukua kishingo upande ,,nikajua kwa sababu ni marafiki naweza pata ukaribu na huyo, ila lengo nisijempoteza yule pisi kupitia mwenzake.
Kufupisha tu ni kwamba yule dada wa kimasai aliniganda hatari zaidi ya mwaka , ili kutomfanya asijisikiie vibaya sikudhubutu kumwambia ukweli , nikawa nawasiliana nae kishingo upande ,alipo kuja kuharibu zaidi alinitambulisha kwa yule pisi kama mimi ni mtu wake, na ile pisi ikawa inaniita shem.
Hali ilizidi kuwa mbaya zaid pale nilipotambulishwa umasaini ikafika hatua mpka kaka wa binti walipo diriki kutamka watanipa n'gombe 100 .
Kilichonifanya nikaingia mitini kabisa ni pale binti alipo fikia hatua ya kutaka kunitunuku zawadi ya bikra yake na akaniambia hiyo kwao ni zawadi kubwa kabisa ya kimila .
MpKa Leo sikuwahi kukutana na pisi kali kama yule rafiki wabinti wa kimasai , nilikuja kupata fununu karudi kwao Rwanda baada ya kumaliza masomo yao pale KCMC .
trueHuenda ile pisi ya kirwanda ilikua ngeni so iliogopa. Wewe ungeforce pale pale.
Hii ya mwaka gani tena bwashee?Huenda ile pisi ya kirwanda ilikua ngeni so iliogopa. Wewe ungeforce pale pale.
Ahaa kumbe ilikua chai ushuhuda wako?Hii ya mwaka gani tena bwashee?
Hapana sio chai ila kitambo sana , sikukumbuka kama nilishasimulia humu ,itakua siku hiyo nilikula pombe zanguAhaa kumbe ilikua chai ushuhuda wako?
Shindii mbona Rwanda sio mbali?Ilishawahi nitokea , kuna wadada wawili walikua barabarani mmoja ni mkali kinyama ndie nilie mpenda wa pili ni mmasai mmoja mwenye sura yake personal.
Lengo langu niwafuate niombe no ya yule pisi ,ili kutomfanya yule mwingne asijiskie vibaya nikajifanya kuomba no zao wote, mbaya zaidi asiye kwenye lengo ndio akajitia kiherehere cha kunipa no ,yule pisi yeye kimya tu , nikaichukua kishingo upande ,,nikajua kwa sababu ni marafiki naweza pata ukaribu na huyo, ila lengo nisijempoteza yule pisi kupitia mwenzake.
Kufupisha tu ni kwamba yule dada wa kimasai aliniganda hatari zaidi ya mwaka , ili kutomfanya asijisikiie vibaya sikudhubutu kumwambia ukweli , nikawa nawasiliana nae kishingo upande ,alipo kuja kuharibu zaidi alinitambulisha kwa yule pisi kama mimi ni mtu wake, na ile pisi ikawa inaniita shem.
Hali ilizidi kuwa mbaya zaid pale nilipotambulishwa umasaini ikafika hatua mpka kaka wa binti walipo diriki kutamka watanipa n'gombe 100 .
Kilichonifanya nikaingia mitini kabisa ni pale binti alipo fikia hatua ya kutaka kunitunuku zawadi ya bikra yake na akaniambia hiyo kwao ni zawadi kubwa kabisa ya kimila .
MpKa Leo sikuwahi kukutana na pisi kali kama yule rafiki wabinti wa kimasai , nilikuja kupata fununu karudi kwao Rwanda baada ya kumaliza masomo yao pale KCMC .
Hahahha shindii , kitambo sana 😅Shindii mbona Rwanda sio mbali?
Teh teh teeeh! Huyu mmasai wa sasa komaa nae tu🤣Hahahha shindii , kitambo sana 😅