soldier MAN
Member
- May 13, 2024
- 83
- 173
- Thread starter
- #401
.
HahahaEti kuna kibonge mmoja, mweusi, ananipenda eeh.. amenidharau sana.
😂Eti kuna kibonge mmoja, mweusi, ananipenda eeh.. amenidharau sana.
Ilishawahi nitokea , kuna wadada wawili walikua barabarani mmoja ni mkali kinyama ndie nilie mpenda wa pili ni mmasai mmoja mwenye sura yake personal.
Lengo langu niwafuate niombe no ya yule pisi ,ili kutomfanya yule mwingne asijiskie vibaya nikajifanya kuomba no zao wote, mbaya zaidi asiye kwenye lengo ndio akajitia kiherehere cha kunipa no ,yule pisi yeye kimya tu , nikaichukua kishingo upande ,,nikajua kwa sababu ni marafiki naweza pata ukaribu na huyo, ila lengo nisijempoteza yule pisi kupitia mwenzake.
Kufupisha tu ni kwamba yule dada wa kimasai aliniganda hatari zaidi ya mwaka , ili kutomfanya asijisikiie vibaya sikudhubutu kumwambia ukweli , nikawa nawasiliana nae kishingo upande ,alipo kuja kuharibu zaidi alinitambulisha kwa yule pisi kama mimi ni mtu wake, na ile pisi ikawa inaniita shem.
Hali ilizidi kuwa mbaya zaid pale nilipotambulishwa umasaini ikafika hatua mpka kaka wa binti walipo diriki kutamka watanipa n'gombe 100 .
Duh!
HahahaEti kuna kibonge mmoja, mweusi, ananipenda eeh.. amenidharau sana.
HahahaTabu anayopata ke akimpenda me no tofauti na ile me anapata akimpenda ke, ke wanaumiaga sana wakipuuzwa.
Hahaha we falaNi mara nyingi nimependwa na wanawake ila sijui kwanini sipendeki nachukuliaga tu easy.Siku moja nipo kona bar nimebeba mlupo nahisi ni denti wa ustawi wa jamii bamaga tulikuwa gizani pale nje kwenye eneo la wazi kando ya barabara alikuja tu nilipo akaanza kunisaundisha nikampe vitu kwa malipo tumeenda zetu gesti tumewasha taa demu ananishangaa.akasema hee we kaka m..... wanawake wanakutongozaga?
HahahaKwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe tunawasiliana.
Mwanamke mwenyewe alikuwa mzuri tu, kwahiyo sikumkatalia nilimkubalia kiubishi bishi lakini kutokana na matendo yangu alijua simpendi lakini hakuniacha, ila mbeleni nilimchana ukweli kama simpendi tukaacha but aliumia sana na mimi sikujali nikapotezea, sasa cha ajabu baada ya muda mrefu kupita ni kaanza kumpenda lakini kwa sasa ameshaolewa ila bado ananipenda nasiwezi kumludia kwasababu kaolewa.
Je, na wewe ushawahi kupendwa na mwanamke usiyempenda? Kama umewahi tueleze ilikuwaje na nini uliamua.
Hujui ulitakalo, next time ikitokea chance kama hiyo shikilia. Si kipa mtu anapata hiyo bahatiKwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe tunawasiliana.
Mwanamke mwenyewe alikuwa mzuri tu, kwahiyo sikumkatalia nilimkubalia kiubishi bishi lakini kutokana na matendo yangu alijua simpendi lakini hakuniacha, ila mbeleni nilimchana ukweli kama simpendi tukaacha but aliumia sana na mimi sikujali nikapotezea, sasa cha ajabu baada ya muda mrefu kupita ni kaanza kumpenda lakini kwa sasa ameshaolewa ila bado ananipenda nasiwezi kumludia kwasababu kaolewa.
Je, na wewe ushawahi kupendwa na mwanamke usiyempenda? Kama umewahi tueleze ilikuwaje na nini uliamua.
DuuhSitasahau enzi zile Nesi Mmama mtu mzima kanizidi miaka zaidi ya kumi...Akiniita lodge kule jeshini kibangu ndani ndani analipia yeye kuanzia lodge , misosi, Pombe enzi zile nilikuwa mnywaj wa nyagi na Nauli ya boda ya kunirudisha Hosteli Mabibo. Nilikuwa simpendi hata kidogo ili isimame mpaka nilewe😀😀
Ujana ni nyokoo
Kaka ulipaswa kufanya jambo mapema sana ili kuondoa kadhia hiyo, Kikubwa ni kumpunguza mtu kama sauti ya redio tu kidogo kidogo…Leo katuma Msg ya Good Night hujibu unakuja kujibu kesho yake Good Afternoon…😀Ilishawahi nitokea , kuna wadada wawili walikua barabarani mmoja ni mkali kinyama ndie nilie mpenda wa pili ni mmasai mmoja mwenye sura yake personal.
Lengo langu niwafuate niombe no ya yule pisi ,ili kutomfanya yule mwingne asijiskie vibaya nikajifanya kuomba no zao wote, mbaya zaidi asiye kwenye lengo ndio akajitia kiherehere cha kunipa no ,yule pisi yeye kimya tu , nikaichukua kishingo upande ,,nikajua kwa sababu ni marafiki naweza pata ukaribu na huyo, ila lengo nisijempoteza yule pisi kupitia mwenzake.
Kufupisha tu ni kwamba yule dada wa kimasai aliniganda hatari zaidi ya mwaka , ili kutomfanya asijisikiie vibaya sikudhubutu kumwambia ukweli , nikawa nawasiliana nae kishingo upande ,alipo kuja kuharibu zaidi alinitambulisha kwa yule pisi kama mimi ni mtu wake, na ile pisi ikawa inaniita shem.
Hali ilizidi kuwa mbaya zaid pale nilipotambulishwa umasaini ikafika hatua mpka kaka wa binti walipo diriki kutamka watanipa n'gombe 100 .
Kilichonifanya nikaingia mitini kabisa ni pale binti alipo fikia hatua ya kutaka kunitunuku zawadi ya bikra yake na akaniambia hiyo kwao ni zawadi kubwa kabisa ya kimila .
MpKa Leo sikuwahi kukutana na pisi kali kama yule rafiki wabinti wa kimasai , nilikuja kupata fununu karudi kwao Rwanda baada ya kumaliza masomo yao pale KCMC .
Acha zako saidia Ndugu yakoMwaka 2002 niliwahi pendwa na binti ambaye niliamua kutuliza kiu yake.
Baada ya hapo siaonana naye mpaka leo lkn vurugu alizonazo kunisaka utadhani nilimpa mimba.
Ni piga block,hata baada ya miaka 6 ikitokea nikabadili simu akinitafuta lazima anipate na malalamiko mengi.
Miaka ya 2016 nikiwa Tanga kumbe yeye alikuwa Arusha,acha atume nauli kila baada ya miezi miwili,zikaliwa na kuliwa.
Nikapiga block,mwaka jana kanisaka tena, nilivyomtambua tu nika block.
Ni mzuri mkuu, tako lipo?View attachment 2993305
Huyu ni mwanamke king'ang'anizi