mkuu njoo pm nilipe kwa niaba ya mwambaHapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga weeee hiyo ilikua 2014/2015 hatari fire huyo kijana nilimpenda jamani loooool yaani sipati kusema akatumia udhaifu wangu akaniingiza king weeee ....nasemaje mwanaume yeyote sasa hivi hata akiniambia niazime mia tano simpi ng'o msiniulize hata babako"! Nasema hata yeye hapati
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee pole ukamuacha huyo mwanaume hivyo hivyo binafsi angejutia kauli yake vita yake muamuzi hakuna.Nilitapeliwa tu penzi basi nilikatika usiku mzima baada ya siku mbili kumbe ni tapeli couze nilimtext babe i miss u simu ikaita kupokea wewe nani?
Nikamuuliza wewe nani mimi mkewe kummbana sana nimeoa kweli natunawatoto wawili so nikakaa kimya na nikasepa zangu mazima.
Ila iliniuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante dear ......hawa viumbe mungu awaweke mahala walipojiandalia
Pole sana dear.
Aisee pole ukamuacha huyo mwanaume hivyo hivyo binafsi angejutia kauli yake vita yake muamuzi hakuna.
Auntie mapenzi ujueHivyo ndio inaitwa kuaminiana au ni kaujinga huwa kamejificha!!!
Mpenzi tuuu nikukabidhi pesa yangu ya mkopo eti ukalipie sijui nini changu
Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwaje mkuu?Kuna mwenzio juz katapeliwa gari. Alikutana na mtu kwa style hii hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu unavyo chukiaga watu wanaopenda kubeti sasa!!!Halafu ni lizuri hatari sio mvivu kitandani, + liko romantic mi ningeotaje mwenzenu mwaka mzima uko na mwanaume anakujali mi ningeota tapeli??/
Ha ha ha ha ha.Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani elfu 85 mpaka kwa Sir God jamani. Ina maana hukuwahi kumpa zawadi yoyote ya maana?!
Asante dear ......hawa viumbe mungu awaweke mahala walipojiandalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaaah!!Auntie mapenzi ujue
Pesa ndogo Kama hiyo.Yaani elfu 85 mpaka kwa Sir God jamani. Ina maana hukuwahi kumpa zawadi yoyote ya maana?!