Umeshawahi kuokota hela mfukoni mwako?

Juzi kati nikasema ngoja nicheki wallet yangu ya zamani nakuta kuna litwenty nililisahau

Nikampa shemu yako maana yeye ndiye aliyeninunulia wallet mpya
 
Vipi ulijisikiaje yaani unajikuta hujatarajia na hauna hela siku hiyo ila mara paap! Unaingiza mkono mfukoni kisha inakutana na hela ambayo hukumbuki ulioweka lini.View attachment 3559251
Hiyo Umewekewa na wife uwa wanasoma kuwa mzee hana pesa, anakuwekea mfukoni! ili usiadhirike!
 
Mie kila mara nakuta ela kwenye mifuko na mikoba yanguπŸ€—
 
Juzi kati nikasema ngoja nicheki wallet yangu ya zamani nakuta kuna litwenty nililisahau

Nikampa shemu yako maana yeye ndiye aliyeninunulia wallet mpya
Hahahahahaaaaa mifumo ya ulinzi ya china Iran haina uwezo wowote. Nakumbuka waliwauzia Iran mifumo imara ya kisasa "original" latest.

πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…

Mi mi zitto junior Proved T14 Armata
 
Kipindi nakunywa bia nilikuwa naokota sana. Ilifika kipindi nikiona Sina hela kabisa naanza kupiga Sachi mifuko yote sikosi chochote kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…