Umeshawahi kumla shemeji yako?

Umeshawahi kumla shemeji yako?

.. Nilipogundua udhaifu wake sikumkawiza mama Mkwe ,,nilimla kweupee!!..tena sio Mara moja.,

Mimi nilioa msichana wa miaka kama 24 hivi ni mtoto mzr Sana,, na amerithi uzuri na Shepu nzr kutoka kwa mama yake ,,
mama yake bado ni mdada tu miaka kama 44 hivi,
,Aliwahi Sana kuzaa ,, hata siku ya kwnza naanza kumtokea mke wangu walikuwa pamoja na mama yake, ambaye Manzoni nilijuwa ni Dada yake, au mtu na rafiki yake,,
walikuwa maneno fulani ya mji wakitengeneza urembo wa kucha zao,,

siku hyo niliweza kupata namba za simu za yule mdada ,,
mwanzo walinichanganya sn,,
sikujuwa nitongoze yupi?,
Maana wote walikuwa wanashawishi sana..na rika kama wanakaribiana kimtazamo.

nilipogunduwa kama ni binti na mama yake,,,
nikaanza kumwaga venom zangu kwa binti,,
Nilitamani kula nyama laini ya nundu.

baada ya muda wa kutongoza yule binti,,tukawa kwenye mahusiano. , ,

baada ya kama mwaka hivi,,, nikamuoa yule binti..
tukawa tupo nyumbani kwetu..
lakini yule mama Mkwe ikawa ana mazoea ya kuja nyumbani kwangu kusalimia tena Mara kwa Mara.,,

sometimes anakaa hata siku 3 au 4 anaondoka zake,

,Akija nakosa amani kabisa,,,
mikao ya hasara hasara ,,,na Madeira anayovaa ,,na mzigo aliofungasha nyuma, ni hatari sn mkuu,,,,

Kidume mate yananidondoka daily ,,,kwa hamu ya mama Mkwe,,,

siku moja mke wngu alitoka nyumbani,, Mimi nikabaki na Mkwe wngu,,
nilikuwa free nae kuongea nae mambo mengi,
tuliongea sn mwishoe nikaanza kumsifia mke wangu kwa uzuri wake,,
lakini nikampa sifa zaidi yeye mama Mkwe kwa uzuri alionao,,
.nikamwambiya bila wewe kuwa mrembo mke wngu asingekuwa vile,

tena Mkwe,, wewe ni zaidi kwa uzuri na Shep pia.,hata siku ya kwanza kukuona sikudhani kama wewe na mke wng ni mtu na binti yake,,,

tena unaweza kumchanganya mwanaume yeyote yule,

,,basi story zilizidi hadi tukalewa kwa maongezi nikajikuta namwaga sumu za venom za black mamba...

mama Mkwe,,, aliparilize mawazo na hisia pia,,,
Hakujiweza tena,,

Nilitambua hisia zake na anachofikiria Moyoni mwake,,kwa jinsi macho yake, na jinsi alivyozidi kuniangalia kwa aibu,,
huku maneno yakipandana pandana , huku akipekecha miguu yake kwa kubadilisha mikao,,
Nikahisi mkwe ameshazidiwa.

,,,Niliona nafasi pekee ya ushindi ni sasa.
,nikimkosa hapa sitomla tena,

Kidume nikiwa kifua wazi,,
Nilifanya vile kusudi kumchanganya zaidi mama Mkwe,,
Nilijuwa udhaifu wake. ,

wanawake wengi hutamani mwanamme akiwa kifua wazi..
tena nina kifua na mikono pamoja na tumbo lililojengeka kimazoezi,,.
vijana wanaita" six packs"

Niliinuka pale nilipokaa nikamfata upande ule wa kochi alipo yeye. ,,,

Akanambiya "hapana wewe ni Mkwe wngu,,," na hapa sio salama sn anaweza akaingia mtu humu akatuhisi vibaya., huku aking'ata kucha za vidole vyake. tena akionyesha dalili zote za kuishiwa nguvu, ,,
nilipomshika mkono Mkwe hakujiweza tena ,
kwa msaada wa dera alilovaa haikuwa kazi ngumu kwngu ,

kumbe Mkwe Alishalowa muda mrefu,,,,
Nilimla mkwe wangu kweupee,,,

tena na manyoya yake....
Sikubakisha kitu,,

, ,hadi Leo muda wowote nikimtaka namla bila tatizo...
tena Mkwe ni Kama Panga la zamani,, lakini Makali yake ni yale yale.,

Yaani anajuwa sana,,.,,tena mtamu mno, ,,
cha kushangaza,, akiwepo Binti yake anajikausha Kama hapajatokea kitu...

mke wngu akitoka nyumbani,,,ni kama chatu na mbwa,,,.hana ujanja kwngu...
NAKAMATA NABANJUA....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
 
Mwaka 2013, tarehe 8 mwezi wa pili ndio siku niliyomla mke wa kaka yangu kabisa. Sitakuja kuisahau.

Kaka yangu ni mtu wa safari sana, muda mwingi alikuwa hashindi nyumbani. Kipindi hicho nimemaliza chuo nipo natafuta kazi hivyo muda mwingi nilikuwa nashinda nyumbani mimi na shemeji tu. Kipindi hawana mtoto wala house girl

Shemeji alikuwa anapenda sana kuangalia movie, namimi ni mpenzi pia hivyo tulikuwa tunaangalia movie mpaka saa nane usiku.

Siku niliyomla, umeme ulikuwa umekatika mida ya saa nne usiku kwahyo nikawa naangalia zangu movie chumbani kwa Laptop yangu. Akasema kiutani shem acha uchoyo bana mbona unaangalia movie peke yako (mlango ulikuwa umerudishiwa tu, kwahyo sauti na mwanga), nikacheka nikamwambia karibu tuangalie.

Kweli shem akaja, movie naangalizia kitandani na muda chumbani hamna kiti wala meza. Tumeangalia weee, kufika saa sita tu hivi usingizi ukamchukua akalala hapo hapo. Namimi nikafunga laptop mana ilikuwa inaishia charge nikaenda toilet nikalala, japo shetani alikuwa ameshaanza kuniingia.

Usiku sikumbuki kilitokea nini tukajikuta tupo kwenye game mpaka asubuhi. Huo mchezo ulidumu kwa miezi mitatu ikabidi niombe kuondoka pale nirudi tu nyumbani, nilijua ipo siku nitafumwa na undugu utaisha.

Mpaka leo hatujawahi kurudia tena na tunaheshimiana sana, japo huwa najutia sana dhambi ile. Wewe ulishawahi kumla shemeji yako? Ilikuaje?
Hongera
 
Mkuu hii ni kweli...na mke bado ninaye,,na mama YAKE bado namla,,,na kabla sijaoa hyu nilishawahi KULALA NA MTU NA RAFIKI YAKE...KITANDA KIMOJA BILA DEMU WANGU KUJUWA...tena USIKU MMOJA,,,KITANDA KIMOJA,,Nina maana nilitembea na rafiki wa MWANAMKE WANGU BILA YA MWNAMKE WNGU KUJUWA ..tena kitanda kimoja,,,huyo anayebisha BADO HAJAFIKIA LEVEL HIZI.KWAHYO ASIBISHE....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mna watoto wangapi na mkeo?
 
Sijawahi.

Mwaka 2020 mdogo wa mke wangu alikuja kututembelea (likizo ya chuo). Alikaa mwezi mzima. Anashinda na kanga kaifunga kifuani na kuniomba nimnunulie wine akilewa ananilegezea macho.

Nilijikaza sana. Kuna siku kapiga chupa nzima tupo wenyewe nyumbani eti amekuja kukaa karibu yangu na kanga yake. Nikipata simu moja ya dharura nikasepa zangu.
 
Nilikuwa na shemeji yangu vizuri tu tena jana .
Na saivi na chart na nyie niko na mme wangu kitandani hapa nimemlalia kifuani maisha ndio hayo kifua hiki ninachokilalia kimelaliwa juzi na mke wa rafiki yake .
Mchepuko wake na wengine tu.

Mimi niko kwenye list ya michepuko ya mme wa mke wa rafiki yake yaani tunazungushana ndio life .

So ndio maisha kamili
Eehhh
 
Maana halisi ya Shemaji inanipa utata, Ila naamini inahusiana moja kwa moja na haya

Niliwahi mla mchumba wa Mshkaji wangu wakaribu.
Alijipundua yule dada na alikua na bonge la Tako, kiukweli hakuachika.

Nilishwahi kula ndugu wa 4 kwenye familia na wa 5 akiwa ndugu ya mama yao.
Ila hawa wote watano niliwala kwa mda tofauti mana tulikulia mtaani pamoja, na hakuna yoyote niliyekuwa nae kwenye serious relation wote nilikula tunda kimasihara.

Nilashawahi pia kuwala ndugu wa 3 kwa upande mwengine.
Hawa nilikua na mahusiano na dada mkubwa wadogo wakaona wivu wote nikawala.

Na nilishawahi kula ndugu (mapacha) kwenye threesome moja safi sana kimasihara tu.
Hii inabaki katika moja ya my all time classic

kwa haraka haraka zimekuja hizo kichwani.
Mwambaaa 👊✊
 
Hata mimi ningekuwa mzembe hali hii ingenitokea,ila nilijiongeza ,kuna kipindi nimemaliza form 6 miaka ya 2010 hapo wazazi wote washafariki chuo nimenyimwa mkopo nikawa nipo nipo tu,ikabidi niende kwa brother angu mtoto wa baba Mkubwa nikakae mitaa ya temeke ili nibadili mazingira kidogo ya mtaani kwetu maana niliona frustrutation za kuulizwa chuo lini sijui unafanya nini sasa hivi zitanichanganya!kwanza niliongea na bro kwa simu akakubali niende ,nikafika pale nikawa very descent boy,bro alikuwa na mke na watoto wawili pia alikiwa anaishi na mdogo wake wa tumbo moja umri sawa tu na mimi hivyo tukaws tunaishi chumba kimoja na mshkaji ila jamaa alikuwa haelewani na shemeji yake kabisa,hivyo mimi nikawa kidogo nabalance mambo,naamka asubuh nasaidia kazi za,nyumbani ,napeleka madogo shule,nawafata jioni ,napitia maftari yao ya shule yaani walinipenda kiukweli sabbu bro na mke wake hawakuwa na elimu kivile walikuwa wafanyabiashara tu,hivyo mimi ndo nilikuwa nawasaidia watoto homework etc,kwa aina ya yale maisha nikatokea kuelewana na shem ila yeye akawa anataka kuvuka mipaka na mazoea,mara siku nyingine akiona bro hayupo aniite chumbani nimsaidie kuweka vzr kitanda huku kavaa khanga moja tu na aidondoshe maksudi ila najifanya sijaona kitu,siku nyingine akiona tumebaki wawili tu anataka kuangalia picha za kikubwa,nikaona hapa utakuwa msala nitaharibu mahusiano na ndugu yangu nikatafuta sehem walau niwe nafhndisha tuition kwa udi na uvumba ili niwe nashinda hukooo,nategea muda wa kurudi watu wote wamerudi home,nikawa siku nyingine nikiona bro amesafiri nalala kwa mshkaji wangu mahali hata siku 2 ili kupoteza yale mazingira ya mazoea kupitiliza,mpaka nikapata kijibarua mahali cha kunipa mia 2 ya uhakika nikapanga chumba fasta nikahama,ila inshort tu niliandaa mazingira ya kupoteza yale mazoea ya kupitiliza naamini kilikuwa kama kiupepo flani kibaya hivi kilitaka kumpitia kwani baada ya pale alirudi normal tu tukawa tunapiga stori kawaida namimi sikutaka kuiongelea mahala popote zile situation ,nilikabiliana nazo mwenyewe kiume!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifanikiwa kupata kazi yenye kipato kikubwa zaidi na kujiendeleza na masomo baadae?
 
Back
Top Bottom