Umeshawahi kujiuliza siri ya kadi nyeusi?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
๐—จ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ต๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜‚๐˜€๐—ถ ๐—œ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—š๐—ฎ๐—ป๐—ถ ?

1_20250501_191858_0000.png

Okay Kuna Tukio la Kushangaza linamuhusu Msanii maarufu kutoka Afrika Anaitwa Davido ikimuonyesha akiwa anamiliki kadi ya benki ambayo Ina rango nyeusi !! Je Kuna Siri Gani ?

Inaitwa black credit Card ๐Ÿ’ณ, ni kadi ambayo inatolewa kwa wale watu ambao wanatumia pesa kwa kiwango kikubwa kwa Mwezi kwa ajili ya mambo mbalimbali sanasana Anasa.

2_20250501_191858_0001.png

Kadi hii ilizinduliwa mwaka 1999 ilikua inajihusisha kwa kutoa mikopo kwa watu maarufu au tajiri ni mkopo wa haraka ambao watu maarufu Wanakopeshwa kwa ajili ya mambo mbalimbali wamarekani walikua wanaiita American Express Centurion card.

Baadae ikaja kubadilisha na kuwa ni kadi maalum kwa watu matajiri ambao wanapenda sana starehe wanapewa hizo kadi ambayo Ina nguvu ya matumizi isiyona kikomo.

โš™๏ธUkitaka kumiliki hii kadi yakupasa ujue mambo yafuatayo ๐ŸŒ;

โšก Kwanza zimeundwa kwa watu matajiri wanaotumia pesa nyingi kwa kawaida unapata kwa mualiko.

images (21).jpeg

โšก Kadi hii zina ada yake ambapo ili uweze kumiliki lazima uwe na Dola $10,000 na ada ya kila mwaka Dola $5,000.

โšก Utasafiri mahali popote , utalala mahali popote pa gharama bila kulipia kichochote yani mahali popote penye chumba cha VIP unaingia bila shida na kupata huduma yoyote unayotaka.

๐Ÿš€ Faida za kuwa na kadi hii unaweza Safari za ndege bila malipo, Viwanja vya ndege vya VIP, Kukaa hoteli za nyota 5 ila sharti lazima uwe unatumia angalau $500,000 kwa mwaka ambayo ni sawa na bilioni 1.2.
 
๐—จ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ต๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜‚๐˜€๐—ถ ๐—œ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—š๐—ฎ๐—ป๐—ถ ?

View attachment 3322147

Okay Kuna Tukio la Kushangaza linamuhusu Msanii maarufu kutoka Afrika Anaitwa Davido ikimuonyesha akiwa anamiliki kadi ya benki ambayo Ina rango nyeusi !! Je Kuna Siri Gani ?

Inaitwa black credit Card ๐Ÿ’ณ, ni kadi ambayo inatolewa kwa wale watu ambao wanatumia pesa kwa kiwango kikubwa kwa Mwezi kwa ajili ya mambo mbalimbali sanasana Anasa.

View attachment 3322148

Kadi hii ilizinduliwa mwaka 1999 ilikua inajihusisha kwa kutoa mikopo kwa watu maarufu au tajiri ni mkopo wa haraka ambao watu maarufu Wanakopeshwa kwa ajili ya mambo mbalimbali wamarekani walikua wanaiita American Express Centurion card.

Baadae ikaja kubadilisha na kuwa ni kadi maalum kwa watu matajiri ambao wanapenda sana starehe wanapewa hizo kadi ambayo Ina nguvu ya matumizi isiyona kikomo.

โš™๏ธUkitaka kumiliki hii kadi yakupasa ujue mambo yafuatayo ๐ŸŒ;

โšก Kwanza zimeundwa kwa watu matajiri wanaotumia pesa nyingi kwa kawaida unapata kwa mualiko.

View attachment 3322149

โšก Kadi hii zina ada yake ambapo ili uweze kumiliki lazima uwe na Dola $10,000 na ada ya kila mwaka Dola $5,000.

โšก Utasafiri mahali popote , utalala mahali popote pa gharama bila kulipia kichochote yani mahali popote penye chumba cha VIP unaingia bila shida na kupata huduma yoyote unayotaka.

๐Ÿš€ Faida za kuwa na kadi hii unaweza Safari za ndege bila malipo, Viwanja vya ndege vya VIP, Kukaa hoteli za nyota 5 ila sharti lazima uwe unatumia angalau $500,000 kwa mwaka ambayo ni sawa na bilioni 1.2.
sio lazima uwe na pesa inategemea na nchi southafrica karibu kila mtu anayo hyo ukisha timia kadi 4 years unarenew wanakupa hyo
 
Black card kuna wafanya kazi wa banks bongo wanazo....
Banks zingine hata ukiwa na milioni 100/200 wanakupa hio card...

Sema American express black card yao kuipata inabidi uwe tajiri kweli.. Yaani ukwasi wa maana..
 
Back
Top Bottom