Ukizunguka kwenye vituo vyote vya daladala, hata mtaani kwenu ukichunguza watu wanaolala barabarani au nje ya maduka asilimia 99.999 hawana kipara.
Unakuta mara nyingi wanakula vyakula kutoka majalalani, bacteria wakutosha ila nywele zao bado zipo.
Ungetegemea labda kwasababu ya umasikini hawa watu ndio wangeongoza kwa kupoteza nywele. Lakini bado zipo. Siri ni nini?
Kama una kawaida kusafiri kwenda mkoani chunguza watu wanaoishi kwenye nyumba za udongo yaani ikifika usiku anawasha mshumaa au ni giza nene. Labda awe kibabu cha miaka 80 ndio utakuta ana kipara. Asilimia 99.999 ya watu wote nywele zao zipo kamili.
Kwanini Donnaruma hana nywele? Ana miaka 26? Goalkeeper wa Man City. Anafanya mazoezi muda wote. Na diet zao zinapangwa na "nutriotionists"? Ni kwamba amerithi au mazingira anayoishi ndio yanachangia?
Mimi nina mdogo wangu. Muda wake wote yupo kwenye simu. Muda mwingine mpaka saa nane usiku. Kila siku akienda kulala anaacha taa za chumba chake on. Na anafanya mazoezi ni basketballer ila nywele zake zimeanza kurudi nyuma. By the time Guardiola ana umri wa Arteta alikuwa hana nywele. Nimezunguka sana.
Ila siri ni hii MWANGA ARTIFICIAL (BLUE LIGHT) ndio chanzo kikuu cha vipara vyote duniani. Unakuta mtu ndani ya masaa 8 ya kazi amekaa kwenye PC.
Akitoka ofisini either yupo kwenye gari au kwenye bado yupo kwenye simu. Akirudi nyumbani taa za nyumba yake ni LED. Na hapo kabla ya kulala lazima afungue simu kwa lisaa au masaa mawili.
Ndio alale kila siku Nywele zinaanza kuwasha. Anakuna. Zinaanza kutoa "mchanga mweupe" anakuna.
Na mdogo mdogo zinaanza kupungua zenyewe. Ombaomba muda wote anapigwa na JUA KALI. Asubuhi, Mchana na Jioni na akienda kulala ni giza nene kila siku la kuamini hichi kitu.
Nenda kijijini au ishi msituni kwa miezi 6, bila simu au mwanga artificial wa LED.
Ukiamka asubuhi ni jua kali ukienda kulala ni giza nene. Nakuhakikishia nywele zako zote zitarudi.
Kama nywele zako zimeanza kupungua jitahidi jua la Asubuhi, Mchana na Jioni linagonga macho na mwili kwa angalau dakika 30 kila siku. Na punguza muda unaotumia kwenye PC na Simu na ikifika usiku lala by saa 4. Ndani ya miezi 6 au mwaka nywele zako zote zitarudi.
PS. Usije ukajiloga ukatumia FINASTERIDE. Au Minoxidil. Nguvu zako zote za kiume zitaisha!