warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,471
Mtu akifa mmaana yake ni physical body inatengana na astra body. Physical body inazikwa na inarudi kuwa udongo.Astral body inaenda heaven or hell kuendana na matendo yako huku duniani.
Ukiwa na dhambi kidogo utaenda mahal panaitwa ether.Hapo pana mateso zaidi ya duniani na ili uvuke hapo unahitaji kuombewa na watu walioko duniani.Hii ndiyo maana tunawaombea marehemu.
Ukisamehewa unaenda mbele mbinguni.Ukibaki hapo unaweza kuwa ghost, au ukarudi duniani kuzaliwa upya. Rebirth.
Asimilia 5% tu ya binadamu wanaokufa huenda heaven straight. Wengine mmmmh. As above.
Sidhani kama maelezo yana ukweli, kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika wote tunatenda dhambi