Andika kiswahili ueleweke, kidhungu kyako kigumu sana.I Thought You Did'nt Understood Me!What I Meant Is Your Deeds Will Determine Your Destination Wheither Hellfire Or Gardens Of Paradise!
Nikama Wanadamu Tunajisahau Sana!,wapo waLiokuwa matajiri Sana,viongozi wanaoheshimika,wenye Elimu Kubwa,watu Maarufu, wengine Walikuwa Wazinzi,walevi,wachawi, waongo,wezi, viburi Na Majeuri Kuliko Wewe!Lakini Wote Wameondoka(kufa)nahabari Zao Zimesahaulika Kabisa!
HIVI UMESHAWAHI KUJIULIZA UKIFA LEO UTAKUWA MTU WA MOTONI AU PEPONI?.
Nawasilisha.
consuption ya moto ni kwamba ukikuunguza 100% unatakiwa ufe,moto utakao kuunguza milele lakini haufi basi hayo maumivu utayazoea maana haufi sasa, na ktk kupitapita kwako na huo moto unaokuwakia, ukikutana na kigrocery unaweza agizia ndovu baridi upoze machungu kidogo,haufi sasa!! kaazi kwelikweli
ukijua ulikotoka utajua utaenda wapi
Swali la msingi sana, kila mtu ni muhimu kujitafakari ndani ya nafsi yake.Nikama Wanadamu Tunajisahau Sana!,wapo waLiokuwa matajiri Sana,viongozi wanaoheshimika,wenye Elimu Kubwa,watu Maarufu, wengine Walikuwa Wazinzi,walevi,wachawi, waongo,wezi, viburi Na Majeuri Kuliko Wewe!Lakini Wote Wameondoka(kufa)nahabari Zao Zimesahaulika Kabisa!
HIVI UMESHAWAHI KUJIULIZA UKIFA LEO UTAKUWA MTU WA MOTONI AU PEPONI?.
Nawasilisha.
Mkuu ww una mackhara na sir God.
Soma maandiko kwenye kitabu cha Luka Mtakatifu, sura ya 16: 19-31, usome hiyo habari ya tajiri ambaye baada ya kufa alikwenda kuzimu na yule masikini Lazaro, ambaye naye baada ya kufa akaenda peponi.Kwani kuna mtu aliwahi kufa afu akarudi akasema huko kuna vitu viwili tu,peponi au motoni sijui watu walitoa wapi hz nadharia.kama ilvyo kwenye kuzaliwa ndivyo itakavyo kuwa kwenye kifo.yote mafumbo hamna hata moja duniani mwenye uhakika na chochote.
I Thought You Did'nt Understood Me!What I Meant Is Your Deeds Will Determine Your Destination Wheither Hellfire Or Gardens Of Paradise!
nitakuwa mtu wa kaburini.
peponi
neno la mungu linasema kila mtu ataubeba msalaba wakenitakuwa toharani, maombi ya my dear catholics yatanitoa huko na kunifikisha uwinguni. Ave maria glacia plena.......
biblia ni kitabu kitakatifu cha mungu hakuna aliye ongeza maana bwana amesema katika (ufunuo 22:19) amesema na mtu yeyote atakaye ondoa lolote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima na katika ule mji mtakatifu ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hikiacha uoga mungu hana chuki hiyo ya kumuunguza binadamu wake milele,hayo mambo ya moto wa milele yameandikwa na binadamu kuwatia uoga,in short hakuna moto wa milele