Umeshawahi kujamba hadharani?

Majestic wolf

JF-Expert Member
Feb 10, 2015
1,248
1,850
Leo nimekumbuka baadhi ya incidents zimenifanya nicheke sanaaaaa baada ya sista duu mmoja kujamba akiwa usingizini tukiwa kwenye foleni ofisi Fulani
Nivyonunua kiredio changu mara ya kwanza miaka hio, nikanunua na earphone. Sasa nahisi unafahamu ukivaa earphone sauti za nje husikii hasahasa volume ikiwa kubwa. Bas siku hio mwenyewe nadunda kabisa mpaka kituo cha daladala...kiushuzi kikanibana nikasema ngoja nikiachie taratibu (wote tunapumua hapa tena sanasana hii style ya pfuuuuuuuu yaan kimyakimya).
Sasa kwa bahati mbaya mzigo ukaja na bonge la ngurumo. Sasa kwa sababu nimevaa earphone me sikuskia hio thunderstorm nikajua nimetoa kile cha pfuuuuuuuu. Nikaona watu wanacheka uku wananiangalia me nikajifanya napoteze Nikarudia tena kutoa kombora jingine . Sasa hili la mara ya pili nilikosea mahesabu kitu kikawa kikubwa hadi nikakiskia...... Kwa aibu nikatembea kwa miguu..

Kuna Siku nyingine(hapa nilikua advance) nilikua geto kwa mwana mmoja ivi nasongoka ...huyu jamaa alipanga af hio nyumba kulikua na watoto wazuri kweli. Baada ya kusoma kwa muda hivi nikasema ngoja niskilize mziki kidogo .......Kama kawaida nikavaa earphones (zile za beats by dre ndo zilikua zimetoka enzi izoo). Kama ilivyo kwa binadamu yoyote alie hai kujamba kawaida(hapa nimejitetea sababu kuna watu hawakosekani wa kukuponda eti ohhh wewe unajamba sana tena wapo watakaosema nati zako zimelegea)...Bas me nikajamba zangu taratibuuuuuu sema kwa sauti......Baada kama ya dakika kadhaa nkatoka njee Lumbee lohhhhhhh wale wadada wanyumba ile walikua hapo nje wanaosha vyombo    sio kwa aibu ile na walicheka kishambenga ile hehehehe haloooo.......kwa aibu nilinyooka moja kwa moja geto nikwamwachia jamaa angu Chand na mapam ya mgote  

Hii nyingine ni msichana mmoja iv alilalala class hadi akajamba af alivoshtuka kuona kila mtu anamwangalia af anacheka akajua watu walikua wanamdiscuss bas akatoa bonge la mfyuuuuuuu kwa dharau    afa akarudi tena kulala haijapita hata dk 10 akajamba tena bas watu hoi kwa vicheko(this time had I yeye aliskia akatoka class kwa aibu....hakuingia class wiki nzima )

Kujamba ni jambo la kawaida sana tena kwa taarifa yako tamaduni za zamani za Japan zilichukulia kujamba kwa sauti hadharani kama sign ya kuridhika na kutosheka. Usiogope kujamba kwa sauti ni fahari. Jamba kwa raha zako.

JE WAJUA??
1. Asilimia 1 tu ya kijambo chako ndo kinatoa harufu na 99% iliobaki ni composition ya odourless gas(patia picha kama ingekua ni asilimia 30 achilia mbali 100)

2. Kama una afya unatakiwa kujamba kwa wastani wa mara 14 kwa siku(hii ni sawa na kujaza Maputo 10 Yale ya sh 100.....ila hii ina vary sana kutokana na chakula unachokula)

3. Kuna chupi huko Uingereza zilizotengenezwa special kabisa kwa kuchuja kale kaasilimia 1 ambako kanatoa harufu kwenye kijambo chako hivyo utakua huna hofu ya kujamba kwenye mikusanyiko ya watu bila kutoa shombo
56184c2d5d83c4071b64fdc4ac6a7e9c.jpg

4. Kuna watu wanakua "aroused" kwa vijambo vinavyonuka. Hii hali kitaalam inaitwa Eproctophilia

5. Wataalamu kutoka Marekani walitumia kifaa kiitwacho "rectal catheter" kupima average speed ya kijambo na ilikua ni 9.5km/hr(kwa lugha nyepesi kijambo cha kawaida hutumia saa 19 kutoka dar had moro)

6. Vijambo vya wanawake vinanuka sana kuliko vya wanaume kwa sababu wap wanazalisha gas ya hydrogen sulphide kwa wingi ambayo ndo ile 1%.

7. Kijambo chako hakinuki sana kwako ukilinganisha na vijambo vya wengine.
ef0b883dc84186dd82058fca2aba292b.jpg


8. Kiafya haishauriwi kuzui kijambo(ndo maana UK wakaja na chupi special za kuchuja harufu).

9. Kadri njia inavyokua ndogo ndivyo sauti ya kijambo inavyokua kubwa.

10. Tafiti zinaonyesha kwamba hata maiti hujamba(hii hutokea baada ya kama Masaa 3 had 6 baada ya kifo)

11. Kuna jamaa anajiita Mr methane . Yeye kujamba ni kazi yake kama ilivyo kazi unayofanya we we kukuingizia kipato. Hutumiwa na makampuni mbalimbali kwa ajili ya ringtone za simu. Unaweza kuta hata ringtone unayotumia ni kazi yake (mgoogle ujione maajabu ya dunia)
9a9f18f3c15b9025dd09b577a4ce8c21.jpg


12. Kabila la Yanomami huko South America husalimiana kwa vijambo vya sauti kubwa.

13. Nchini China kuna watu wanaitwa PROFESSIONAL FART SMELLER hawa huwa wanatumika kudetect ugonjwa wa mtu kwa kunusa tu shuzi lake . Na wana annual income ya 50k dollars.

14. Ukiwa ndani ya ndege utahisi kujamba zaidi ya utakavyokua ardhini.

15. Kuna vidonge vinaitwa "FATHER CHRISTMAS" hivi vinafanya kijambo chako kiwe na harufu nzuri....kuna vya vanilla,chocolate, strawberry, banana yaani ni wewe tu na hela yako.

16. Ukijaman bafuni kijambo kinanuka zaidi utavyojamba sehemu nyingine.

Funguka kama umeshawahi kujamba hadharani......
 
Kuna vijambo aina mbili kuna pfuuuuuuuuuuuu hii ni ile ya kimya kimya na vinanuka kweli....pia ni dalili ya kuwa kinyesi kipo karibu
Ya pili ni ile ya buuuuuuuuuuu hii huwa hainuki sana .....najiandaa kuandika papers za PhD kuhusu vishuzi
Mtaalamu wa vijambo.
 
Mwanaume ukijamba kwa sauti si dalili nzuri.

Ni rahisi kuhisiwa huna marinda
Ni dalili nzuri .. Tafiti zinasema kuwa kadri njia inavyokua kubwa ndivyo kijambo kinakua silent kwa maana nyingine wale waliozoea kale kamchezo hujamba kimyakimya. Kujamba kwa sauti kunadhihirisha kuwa njia yako iko sealed
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom