Kwanini usioe wote wawili iki uepuke uzinifu mkuu?Habari za weekend wakuu?
Napenda kujua,je umeshawahi kufumaniwa?Ilikuchukua muda gani kwa tukio lile kufitika kichwani mwako?
Binafsi ilinitokea siku za karibuni,sielewi ni nani alimtonya wife,Akaja direct mpaka kwenye guest tuliyokuwa tunanyanduana,cha ajabu zaidi mpaka kwenye dirisha la chumba,bahati mbaya dirisha lilikuwa wazi,akafanya kusogeza pazia pasi na sisi kujua,Kwa mujibu wake tukiwa katikati ya mchezo alifanikiwa kuturekodi,(Binafsi video sijaiona).
Aliketa timbwili pale,nilafanikiwa kumzuia na demu akachoropoka akakimbia.Nikijaribu kuwauliza wahudumu wa pale,na wenyewe wanasema hawaelewi aliwezaje kufika mpaka pale.Imekuwa ni vigumu tukio lile kufutika kichwani mwangu.
Unaweza kushare na wewe kisa chako hapa.
Ndo maana tunakataa ndoa 😂😂😂Kwa nn uchepuke mkuu..
Hiyo puss* uloenda kuila guest ina tofauti gani ya mke wako?
mh!Tulia wewe
Sasa ntaelezeaje kitu ambacho kimeshafutika kichwaniIlikuwaje mkuu,zinaa zinafedhesha mno.
Hapo hukufumaniwa ulikutwa. Unless huyo beki tatu alikuwa na mahusiano na rafiki yako.Mi nilifumwa na rafiki yangu namla beki tatu wao ndani kwao,mbaya zaidi walikuwepo na washikaji zangu wengine.siku hiyo nilifedheheka sana mshedede ulinywea ghafla wakati ulikuwa umesimama kama mlingoti.Ila tuliyamaliza kiume mpaka leo bado ni marafiki
Hahahaha anatushirikisha uzinzi wake. Pumbavu huyu dogo.Usitueleze upuuzi wako
Abakie na dipresheni zake.Usitueleze upuuzi wako