Umeshawahi fikiria usiku wako wa kwanza kaburini?

nini maana ya kufa..?

Tunazungumzia juu ya kifo cha mwanadamu.

Definition ya kibaiolojia ni kukoma kabisa kwa utendaji wa "systems" zote za mwili.

Definition ya kidini ni roho na mwili kutengana, na roho kwenda Barzakh (soul grave) na mwili kubaki hapa duniani kwa mipango mingine.
 
ninayomaanisha ni hiyo ya kibaiolojia nafikiri utakuwa umeshapata jibu
 
ninayomaanisha ni hiyo ya kibaiolojia nafikiri utakuwa umeshapata jibu


Hapa hatuzumgumzi juu ya mada za kibaiolojia tunazungumza juu ya mada za kifo kwa mintarafu ya dini yaani maana ya kifo kwa upande wa dini. Kwani Baiolojia inatambua kitu kinachoitwa "roho".??
 
Hapa hatuzumgumzi juu ya mada za kibaiolojia tunazungumza juu ya mada za kifo kwa mintarafu ya dini yaani maana ya kifo kwa upande wa dini. Kwani Baiolojia inatambua kitu kinachoitwa "roho".??
kama baiolojia haitambui basi na mimi sitambui! Siafikiani na maswala ya kiroho hapo ndipo uwezo wangu ulipoishia
 
Halafu mimi sikuomba kuzaliwa " kwa hiyo sioni kama ni busara kupangiwa mikakati na kuifuata wakati huu Uhai sikuuomba wala sijawahi kuwa na time nao hapo kabla


Kama hukuomba uzaliwe basi jitoe roho au ujiue kwa sababu hujui faida ya kuwepo kwako hapa duniani upoupo tu bila kujitambua!!?.


I am sorry, Wasiojitambua ni wanyama lazima sisi tuwe tofauti nao.
 
Kwani kabla hujazaliwa OK tusifikirie kwny kaburi tuanzie ulipokua tumboni kwa mama yako ulikua unajua nini kinaendelea??
 
Hivi kweli hadithi mlizozokuta hapa Duniani mmeziamini kabisa bila kuchekecha akili tafuta basi hata mtu aliyewahi kuzimia basi muulize alijisikiaje mda huo wakati amezimia
 
Nyie si ndio mkizikwa tuu anakuja bonge jokaaaa kukuviringisha halafu anakuja malaika mwenye bonge runguu anakupiga kichwani puuuh!!! Halafu anakuuliza "ulifanya nini duniani"...duuh kama ndio hivyo laz'ma uwaze saaana aseee!!!
Acha upotoshaji soma na ujifunze,kwa mujibu wa imani yangu Rungu ni kwa wale waovu,pia Rungu linawahusu watu wote bila kujali we wa imani gani,km haukumjua Allah Rungu linakusu so hata we linakuhusu pia.,kutojua sheria haimaanisha upewe msamaha.

Imani ya kweli unaisikia lakini unadhara na kukejeri bila kutafuta ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepata uhai itafute iliyo ya kweli ya hakika,shukuru kwa Allah umeumbwa binadamu VP ungekuwa mbuzi/nzi ungekuwepo Leo?

Nusura,haipo juu yako km hutaki kuitambua iliyokweli.,acha kejeri na,kashfa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haya mambo umejuaje??
Au kuna mwana alikufa akaja kukwambia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…