Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Kweli kuna watu ni mashetani... Mpaka watoto????? Dunia imevaa boxer
nimefika huko kwa kupitia my android device

ILA KUNA UPLOADS ZINAFANYIKA KTK SIMU YAKO BILA WEEE KUWA UMERUHUSU INABIDI KUWA MAKINI KWELI KWELI

NIMEFIKA HUKO KUPITIA VITU VITATU
1. orbot
2. orfox(hii ndio browser yenyewe mbadala wa tor browser ya desktop)
3. link alizo weka gstar hapo juu.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-31-08-48-26.png
    21.7 KB · Views: 222
  • Screenshot_2016-07-31-09-29-08.png
    107.7 KB · Views: 231
  • Screenshot_2016-07-31-08-49-59.png
    259.9 KB · Views: 211
  • Screenshot_2016-07-31-09-28-29.png
    50.7 KB · Views: 203
Mkuu ngoja nijaribu kwa pc , maana haina cha maana chochote , ila kwa simu hapana naogopa , nisije nikakuta visent vyangu wameramba vyote... Ngoja nijaribu soon nitaleta mrejesho .... Wasalaaamm
 
Mmh!! Hata msifikirie kwenda deep web...

Vitu kama youtube... google... yahoo... na zinginezo mzaziona hapa... huko ni balaa...

Hapako salama hata kidogo... ukifanikiwa kuingia... hisitoria yako yote ya kwenye mtandao ina kuwa track up... mambo yote uliyokwisha fanya yanakuwa wazi...


Kama wewe siyo professional hacker.. unaweza ukashangaa ukawa muhanga wa mambo mabaya na machafu...


Wote mnaotaka kwenda huko chunguni sana.. IP au static IP addreaa zenu zisiweze kuwa tracked... laa sivyo mmh...

Mtasikia tu fulani kapotea kwenye mazingira ya kutatanisha ndiyo hivyo tena.. unaenda kufanyia live show za mambo mabaya na machafu...

Porn za huku ni za 18+ za huko ni za 11-


Biashara haramu zimejaa huko... ukiagizia kitu.. baada ya kufanya mihamala na credit card yako... wanadukua taarifa zote.. na kuambiwa unaweza kuvipata au kutovipata kulingana na mazingira yatakavyoruhusu... sababu ni magumashi...

Uki agizia kitu taarifa zinazokuja duniani ni kama vile imeagizia kipande za sabauni... kumbe ni mambo ya ajabu umeagizia...


Kuna site huwezi kuingia mpaka uwe hacker... na ukiingia huwezi kuzigunga yani kutoka kwenye hiyo web page.. mpaka waamue wao na huwzi kuzima mashine yako... wana ku pin... huwezi fanya chochote na kifaa chako...


Panaogopesha sana... kweni makini sana.. na Deep web... msitembelee vitu vinavyoitwa black box...


Msijaribu hata kwenda huko.. endeleeni tu ku stream makatuni youtube... huko uwe na roho mbaya...
 
Kwamba kompyuta haiwezi kuzimika, huu sasa ni uongo uliopitiliza.
 
Mkuu nimeingia huko deepweb ila naona pa kikuda tu.. Mara mia hii yakwetu sie.. Huko naona hakuna cha maana wala chochote interesting
 
Ngoja waendelee kutupa vitu tutaelewa tu,lakini mbona wamesema ukitumia tor browser unakuwa salama vp tena mnatutisha?
Mkuu iko hivi tor browser Ina VPN yake kwa hiyo ukiinstall inakuunganisha kwenye network yao na inakupa IP nyingine, kutumia tor Google my IP utaona kompyuter aonyesha upo sehemu nyingine.
 
Hio dark place its real dark nakumbuka enzi hizo za ujana.. Humo huwa hamna trace ila ni nzuri kwa wanahabari, nk
 

Brave enough kivip mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…