Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Well said brother but without tor browser ni vigumu ku access hize web page za .onion yaani haiwezekani
 
kweli mkuu,nadhani hcho ndo kitu interesting kuhusu hyo web(deep web).ina mana watu wanaitumiia kwa ajili ya anonimity tu.
 
Nimetembelea huko nimekutana na site za ajabu kuna website moja nimekuta wanauza ID cards
mfano ni hii,


Kuna web nyingine wenyewe wanajinadi kuwa wanauza madawa kama heroine, cocaine na mengineyo


Kuna web nyingine nimeona imeandikwa "Fund the Islamic Struggle Anonymously" si nzuri kabisa maana nilichokiona nashindwa hata kuandika sijui kweli siui uongo, kiujumla huku sio kuzuri unapoingia kuwa makini aiseeeh unaweza tapeliwa.
 
Nami nimerudi, mara ya kwanza 'nilichungulia' tu nikaibuka na clip fupi niliyoiweka post ya juu juu.

Safari hii nimerudi na clip yenye zaidi ya dk 60.

Nitaiweka hapa kwa ajili ya kutoa elimu tu na si vinginevyo (for education purpose only)

Ukizamia huko, zama kwa hiyari yako mwenyewe, SINTAHUSIKA NA MADHARA YATAKAYOKUPATA au vinginevyo, 'do it at your own risk'

Ngoja ni upload
 
 
TUNASHUKURU KWA MIREJESHO KWA WALE WOTE WALOINGIA DEEP WEB.
Nasi tumepata cha kujifunza kupitia Deep Web
Endeleeni kutupa vitu vya uko Deep Web maana mi binafsi naogopa na ndomaana nafutilia kwa yale walozamia uko Deep Web na kujifunza mengi kupitia wako.
NB. Naogopa vitisho navyopewa kuhusu Deep Web na ndo maana sitaki kwenda uko.
Kunguru mwoga Ukimbiza mbawa lake.
 
Nasikia kuna jamaa aliingia huko deep Web Kasim kakaanza kulia kama mbuzi.. Meeee...
 
Mkuu umeongelea "illegal porn" ndio zipi hizo
 
wakuu mi nimeenda huko dark web ukisikia biashara haramu bas ndiyo sehemu yake huko .;mi nimeagiza AKA 47 moja inakuja wiki ijayo.
umetumia bitcoin ngapi?
 
Reactions: 7ve
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…