khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 212
Wewe pekee ndiye umeeleweka!! #thumb upHabari naona watu wengi mnahangaika its just simple thing.... deep web unaweza itumia anytime sio lazima uwe na hizo browser na kuna many useful information
But pia kuna black market miaka ya 2011-2012 walifungua online black market ikiitwa silkroad online na huko watu walikuwa wakinunua bidha tofauti kama drugs... weapons... passports and visa... na other services lakini mwishowe FBI wakaifunga na nyengine ilifunguliwa ila 2014 ikafungwa
I heard kuna silk road online 3 now but bado haijafungwa... kuna sellers zaidi ya elfu 10 wanauza service na bidhaa in very black way.... vingine hasa ni illegal porns na other ujinga
So jamaa walitengeneza njia ya kuifikia hiyo site yao ikupitia tor browser ambayo haisave history ya unachofanya na pia ina vpn ndani yake so internet service provider na gov... wanakuwa wanashindwa kukupata muhusika kwa urahisi...
Kwakifupi kwa utawala huu wa Magufuli na TCRA yao tunahitaji sana hiyo deep web kwa ajili ya kutumia mitandao ya kijamii, maana nimegunduwa hapo kuna wataalam wamedhibiti mpaka uwezekano wa kutrace IP.Habari naona watu wengi mnahangaika its just simple thing.... deep web unaweza itumia anytime sio lazima uwe na hizo browser na kuna many useful information
But pia kuna black market miaka ya 2011-2012 walifungua online black market ikiitwa silkroad online na huko watu walikuwa wakinunua bidha tofauti kama drugs... weapons... passports and visa... na other services lakini mwishowe FBI wakaifunga na nyengine ilifunguliwa ila 2014 ikafungwa
I heard kuna silk road online 3 now but bado haijafungwa... kuna sellers zaidi ya elfu 10 wanauza service na bidhaa in very black way.... vingine hasa ni illegal porns na other ujinga
So jamaa walitengeneza njia ya kuifikia hiyo site yao ikupitia tor browser ambayo haisave history ya unachofanya na pia ina vpn ndani yake so internet service provider na gov... wanakuwa wanashindwa kukupata muhusika kwa urahisi...
Hahahaha ww hukuzama ulichungulia ndio maana simu yako ikaungua.MREJESHO
Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu...
Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tena😵😵😵
Shukrani sana kwa ufafanuzi mzuri, bless you.Habari naona watu wengi mnahangaika its just simple thing.... deep web unaweza itumia anytime sio lazima uwe na hizo browser na kuna many useful information
But pia kuna black market miaka ya 2011-2012 walifungua online black market ikiitwa silkroad online na huko watu walikuwa wakinunua bidha tofauti kama drugs... weapons... passports and visa... na other services lakini mwishowe FBI wakaifunga na nyengine ilifunguliwa ila 2014 ikafungwa
I heard kuna silk road online 3 now but bado haijafungwa... kuna sellers zaidi ya elfu 10 wanauza service na bidhaa in very black way.... vingine hasa ni illegal porns na other ujinga
So jamaa walitengeneza njia ya kuifikia hiyo site yao ikupitia tor browser ambayo haisave history ya unachofanya na pia ina vpn ndani yake so internet service provider na gov... wanakuwa wanashindwa kukupata muhusika kwa urahisi...
Sio kweli dia, wanafurahisha jukwaa tu.Ivi ni kweli au ? Maana wengine atujui manbo ya website tunasubiri mrejesho tujifunze kitu
Acha uzembe vitu kama hivyo usithubutu kutumia device unayoitumia kwa shughuli zako muhimu. Tafuta computer maalum kwa issues kma hizo wanaweza kukutumia "malware" waka-destroy hiyo device yako. Otherwise tumia "VPN" to fake IP address and make sure ni ya kununua sio hiz za bure......Vp naweza kuinstall kwenye simu kiongozi?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]MREJESHO
Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu...
Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tena😵😵😵
Ahsante kwa elaboration mkuu.Habari naona watu wengi mnahangaika its just simple thing.... deep web unaweza itumia anytime sio lazima uwe na hizo browser na kuna many useful information
But pia kuna black market miaka ya 2011-2012 walifungua online black market ikiitwa silkroad online na huko watu walikuwa wakinunua bidha tofauti kama drugs... weapons... passports and visa... na other services lakini mwishowe FBI wakaifunga na nyengine ilifunguliwa ila 2014 ikafungwa
I heard kuna silk road online 3 now but bado haijafungwa... kuna sellers zaidi ya elfu 10 wanauza service na bidhaa in very black way.... vingine hasa ni illegal porns na other ujinga
So jamaa walitengeneza njia ya kuifikia hiyo site yao ikupitia tor browser ambayo haisave history ya unachofanya na pia ina vpn ndani yake so internet service provider na gov... wanakuwa wanashindwa kukupata muhusika kwa urahisi...
Naomba mumtag Mwl R.T.C na Chief Mkwawa huenda wakaja kutudadavulia haya mambo
Hapana, ila most illegal user prefer tor as it hides their information... It's all about being anonymous on the Internet...kwaiyo tor browser is all about illegal activities sio?
Fair enoughDeep web nimeisearch kawaida na kuisoma kidogo ila kama hujui kitu bora usizame huko hii web ipo dunia nyingine ridhika na kile upatacho hapa huko nadhani si salama kama hujui unafata nini.
Actually hakuna kitu cha ajabu sana lakini uajabu wake ni pale kuwa watu wengi hawajatambua uwepo wa kitu kama hiko I mean uwepo wa Deep web, pili kuna link ambazo zina taarifa zinazo wahusu watu fulani tu hivyo wewe ukiingia huto elewa chochote. ndio maana unaona hakuna cha ajabusijaona cha kushtusha,nimeangalia vitu vya kawaida kama ninavyoangalia kila siku ktk kwa kutumia browser nyingine.labda wataalam watujuze kuna nini cha ajabu tusearch kama mfano.