Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Vp naweza kuinstall kwenye simu kiongozi?
 
Mm naona tukishafanikiwa madawati nchi nzima ndio tuanze hio deep sasa
 
kama hazipo indexed, hiyo tor inazisearch kwa kutumia mbinu gani?

kama nakumbuka kidogo, ukiandika web page unaandika maneno makuu kwa ajili ya bot za search engine iweze kuiindex labda na yenyewe itatafuta key words za kuongezea au catche ya page.

kuepuka search engine huweki hizo keywords, unaweka taarifa kwa mfumo wa picha n.k.

hivyo swali langu ni vipi bot ya hiyo tor inaweza kuziindex, na nawezaje kusurf huko katika namna kama hiyo.
 
Ukishapata link ya deep web, changua leya (fungua attachment uone layers) ipi unataka kuifikia. Hapa tupo kwenye common web au common layer. take note uwe na kifua
 

Attachments

  • DEEP WEB.jpg
    13.8 KB · Views: 543
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…