Ukikosea tu jua vyombo vyote vikubwa vya usalama vitakutafuta, pia hao wenyewe hizo links makundi ya kigaidi, ya kimafia na makundi ya kihalifu ya kimataifa wanakuweka kwenye rada zao ( Kitendo cha kutobonyeza herufi sahihi na kwa wakati muafaka kwenye hizo links umejiexpose na subilia matokeo yake..!)
Uhuru unaoutumia kwenye surface Web kwenye dark web hakuna, kama sio mjuzi wa ICT sikushawishi uende huko.