Nimetoka ukoo mda co mrefu ni pakawaidawa sana ila tyu uwez piga screen shoot but biashara iko waz waz kabsa
NOTE:kam unatumia tecno na ndugu zake ucende ukoo
Sawa vipi kuhusu free masoni nawo wapo na wanafanya vitu gani na vipi kuhusu illuminat na nina fikiria huwenda kigogo 2014 atakuwa anaitumia kupata info za yanayo endelea tusio ya jua
Nimejaribu kuingia naona cm yangu inapiga picha za ghetto automatic haizim nimeiacha nje kwanza nawaza nikaiweke kwenye maji chakushangaza kila naipeleka nje naikuta ndan jaman plzz msiingie huko
Uchokozi mwingine bana wakujitakia la hata haufai, ina maana na wale jamaa wenye madela nao wanamilikiwa na kafir ? hawakawii kukutumia majini hata km avtr yako ni fake,
astaghaafil! hii kufuru mimi simooooo!