Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Kazi yake ndo hiyo deep web
 

Mkuu mbona unaeleza nusu nusu tupe elimu zaid
 
Mmhh
Huko noma sasa nabidi tusome hatari zake
 
Jombaa hebu tupatie elimu kidogo. Kuna matatizo gani hasa huko deep web na naweza kupoteza nini?

Natamani kujua hilo ndugu

Kama huna computer skills hasa kwenye kujilinda kwenye mashambulizi wanakudukua fasta sana.
IP adress ya PC yako inaweza kutrack hadi activities zako zote unazofanya kwenye PC yako.
Matapeli wa kufa mtu wapo huko.
Unaweza kununua kila aina ya illegal stuffs unazowaza dunia hii humo. Pitia "Silk Road".
 
Nilijua hii inshu nilipocheki movie ya Dope, dogo alipotaka kusell drugs akampelekea jamaa mmoja mzungu mtaalam akawambia wauze thru dark web (deep web) ndio nikajua kumbe kuna ulimwengu mwengine wa Internet tofauti na huu tuliouzoea..
 
Endelea kudadavuwa tunakusoma mkuu....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…