Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Inapatikana pia kwa simu kwa maana ya android users na hata platforms zingine kama wazee wa Nokia na Iphones. Tafuteni maarifa kupitia google mtapata maelezo yote.
 
Nimeona hii site http://applecnapoyjxomg.onion/index.php huko darkweb ya online shopping wanasema wanatumia escrow kama payment method,napata ukakasi kama kuna utapeli wowote kwa maana escrow ni trusted midle man wa online payments btn sellers and buyers
 
Sasa hiyo deep web si ndokutakuwa kumejaa mavirus, ma malware, ma trojan na mahackers wa kiwango cha kutisha ?
 
mrejesho kwa walioaccess deep web, nataka jua kunani huko
 
Tushland, post: 21204950, member: 277500"]Ndo narudi Leo tangu nilivoingia deep web, najuuuuuuta jamani, mniombeee[/QUOTE]
mkuu leta ushuhuda kunani huko
 
Mwanadamu siku zote anapenda kujua asichokijua!
 
Modd naomba mnisaidie ku block huu uzi jamaa amecopy na ku paste uzi wangu nilioutoa kwa kufanya uchunguzi wa kina bila kutoa credit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…