Umependea nini aina ya simu unayotumia?

Umependea nini aina ya simu unayotumia?

inakaa na chaji mda mwingi na iko na ram kubwa..s4 mini i9195
 
nokia lumia 625(LTE)
Inakaa na chaji kutwa nzima huwa nachaji nikienda kulala tu hata nikiacha data on, ina speed sana ktika ufanyaji wake kazi na sina hofu kuhusu virus kuishambulia.
 
Samsung n nzur lakn ukaaji wake Wa chaji ndio unankoseshaga ham ya kutumia,
Hujatumia kuanzia kuanzi s5 kuja juu. Sijawahi kujutia kutumia samsung. Saiz nina s6 edge. Napenda live streaming youtube
 
Nayotumia naipenda coz haina risk ya milipuko na kuvimba battery kama Samsung
Mkuu simu ipi iliyolipuka ya samsung zaid ya note 8 ambazo zimezuia ata kwet hazikufika vizuri. Na swala la battery ni kila battey inauwezo wakuvimba ukiichaji vibaya kwa sababu battery za simu zote na hyo yakwako unayoitumia ni za lithium.
 
natumia note4, naikubali sana maana ina kila ninachokihitaji, kioo kipana nk
 
Mkuu simu ipi iliyolipuka ya samsung zaid ya note 8 ambazo zimezuia ata kwet hazikufika vizuri. Na swala la battery ni kila battey inauwezo wakuvimba ukiichaji vibaya kwa sababu battery za simu zote na hyo yakwako unayoitumia ni za lithium.
Samsung Note 7 pia,kama zote zinatumia lithium mbona tunasikia matukio ya brand ya Samsung tu?
 
Kabla nimetumia LG G2 nikaondoka kidogo kwenda kwa Xperia C4 dual nikahama kabisa na kununua Xiaomi mi5 (apple of China), hii iko sawa na camera nzuri, umbo zuri, ram kubwa, inatunza chaji na ni Imara hakika ni simu ambayo hainifanyi kujuta kuinunua. Bei yake ni ya kawaida sana, unaweza kuicompare na samsung S7 ama Iphone 7. Ushauri wangu: Tujaribu na vitu vingine si, leo Tecno kesho Huawei mara Itel kwenda zaidi kuleee. sijui keshokutwa nini vile. Jaribuni na Brand tofauti tofauti.
 
Mi ka HTC one M8 chaji inakaa mpaka jioni na sizimi data na speed ya upload na download ni nzuri kiasi
 
Naipenda Samsung Note 7 sababu unaweza kuitumia kama kilipuzi
By the way nasikia zimepata order kubwa kutoka al shabab
 
Back
Top Bottom