Katonda aganyira
Member
- Sep 13, 2016
- 25
- 24
Infinix hot 3 czimi data ila chaji ni jana na Leo. Hapa kwa infinix nimefika ni Nzuri kwa kila kitu.
Naomba kujua kwa kifupi sana iv Security yake ni Unique kiasi gani hizo S6 plusiphone 6 plus,inanikosha kwenye security TCRA hawawezi kunidukua kizembe,charge hadi nasahau,durability,speed,voice quality,facetime,super camera,...n.k yani hauwezi kunishawishi kuwa kuna simu nzuri zaidi ya iphone.
Yah zipo,mfano BlackBerry wana aina zina touch na button kwa kiasi kikubwa, majina ndo sijuiMi simu za kupapasa zishanishinda kabisa,hivi hakuna smartphone yenye keyboard hapa duniani jamani?
Hizi simu za infinix ni nzuri Sana, ila watanzania hawajazijua mimi ninatumia mwaka sasa infinix hot note x551, charge safi, Internet safi hata bei zake hawapigi kama wa wa kule Korea.Infinix hot 3 czimi data ila chaji ni jana na Leo. Hapa kwa infinix nimefika ni Nzuri kwa kila kitu.
sio samsung hyo...itakua singsungHiii si kweli. Yangu data inakaa on muda wote. Nikiamka asubuh full charged nacharge nikiwa nalala.
Lkn hazipo Gsm ArenaHizi simu za infinix ni nzuri Sana, ila watanzania hawajazijua mimi ninatumia mwaka sasa infinix hot note x551, charge safi, Internet safi hata bei zake hawapigi kama wa wa kule Korea.
Wanaondoa kweli wazungu hawanaga longolongo,kama vipi labda ununue blackberry private ndo wameitoa kama mbadala wa bb zote zitakazotolewa whatsappBefore nlikiwa mteja mzur sana wa Bb nmetumia karbia zote na ya mwisho ilikua ni z30, ila z20 sijatumia
Kitu kinachokera kwa Bb ni application zake kuwa chache japokua unaweza sideload android apps ila hazifanyi kazi perfectly
Kingine ni kuondoa whatsapp31st Dec,
nna q10 inanipa warnings kila nkifungua whtsapp
![]()
Siyo zote mkuu,blackberry private wameitoa kwa ajili ya kuwa mbadala na ina android versionBlackberry zote hazita support whatsapp from 1st Jan
Pole kwa kununu bomu tafuta na fire extinguisherNatumia s6 edge ni slm, kidogo kuhandle na chepesi mfukoni. Pia nikiingia geto kwangu ni rahisi kuunga na vifaa navyotumia kama Tv, home theatre na hata kingamuzi coz karbia vyote ni Samsung na ninaweza kuvicontrol kwa simu tu.
Kwanza iphone mi huwa naiona kama kopo. Simu gani inakuwa advertised from da back utazani mwanamke bhna. Mbele haitofautiani na zile za techno au huawei.Ww hujatumia samsung flagship kama s7 ndo utajua utamu wa simu
Wewe ulishatumia sumsung gani ukaona imelipuka au kuvimba battery?Nayotumia naipenda coz haina risk ya milipuko na kuvimba battery kama Samsung
Ni kweli, hata tecno haipo, zipo pia blandy nyingi tu GSM arena, hawajaziweka kwenye Web yao.Lkn hazipo Gsm Arena
Kivipi? Nieleweshe plzSamsung naweza save chaji hata iwe 20% na ikakaa more than 10 hrs huku nikitumia whatsap,sms,call na internet kama kawaida