Natumia s6 edge ni slm, kidogo kuhandle na chepesi mfukoni. Pia nikiingia geto kwangu ni rahisi kuunga na vifaa navyotumia kama Tv, home theatre na hata kingamuzi coz karbia vyote ni Samsung na ninaweza kuvicontrol kwa simu tu.
Hiii si kweli. Yangu data inakaa on muda wote. Nikiamka asubuh full charged nacharge nikiwa nalala.Samsung n nzur lakn ukaaji wake Wa chaji ndio unankoseshaga ham ya kutumia,
Hanarini wana JF
Naomba mnisaidie ni kitu gani kimekuvutia mpaka umeamua kutumia aina na simu unayotumia ( Iphone,Samsung,LG, HTC.....)
Mimi napenda iphone kwasabab ya security na pia inakaa na Chaji.!!
Kwahiyo na humu jf unatumia nokia ya torchMimi natumia Nokia RH-112,Maarufu kama Nokia tochi kwa sababu zifuatazo.
Inakaa na chaji kwa muda mrefu na pia ni rafiki katika shughuli zozote.Unaweza kuwa Mbeba zege,Mkulima,Mhasibu,Mwalimu,Kiongozi nk na isiwe na changamoto/tatizo lolote katika ufanyaji wa kazi yako.
Gharama yake siyo kubwa,Ukiwa na Tsh 25000/= unaipata ikiwa mpya.Hata ikitokea ikapotea kwa bahati mbaya hutokuwa na nafasi kubwa ya kupatwa na Magonjwa nyemelezi kama B.P ukitofautisha bei yake na zile zenye bei sawa na Ujenzi wa nyumba ya kuishi.
Ni simu imara ambayo haiharibiki kwa urahisi tofauti za simu zingine ulizozitaja almaarufu kama Smatifoni,Tableti nk.Pia ikitokea ikaharibika kwa bahati mbaya,spea zake zinapatikana kwa urahisi.
Mwanga wake ni wa kawaida na hauumizi macho ya mtumiaji.
Ni simu ambayo unaweza kuisahau kwa bahati mbaya Pale Mwenge stendi na kwenda Mbagala,Na pindi utakaporudi kuna uwezekano wa kuikuta,[HASHTAG]#Sipendagi[/HASHTAG] ujinga mimi.
Ubebaji wake ni mrahisi tofauti na zile zenye ukubwa kama kaunta buku.
Kiufupi,Hizi ni baadhi tu ya sababu za kuipenda simu yangu.

Mimi natumia Nokia RH-112,Maarufu kama Nokia tochi kwa sababu zifuatazo.

Natumia Blackberry Z20 napenda sana kwa ubora wake security na umbo lake napia kuwa tofauti sana charge ina kaa 24hrs. Data ikiwa on naenjoy sana Na BBOS

nna q10 inanipa warnings kila nkifungua whtsapp 

Kwahiyo na humu jf unatumia nokia ya torch![]()
![]()
![]()
Hujaijulia tu ila siku ukiijulia inakaa na chaji zaid ya simu yoyote ileSamsung n nzur lakn ukaaji wake Wa chaji ndio unankoseshaga ham ya kutumia,