Umeona vitu vingapi hapa...?.

Hiyo pua huyo demu akiachia ushuzi anaweza kuua bila kukusudia
 
Uso wa mtu
Pua ni mwanamke
Mdomo mzizi
Ndevu majani
Mawe mawili kwenye sikio
Shina na matawi ya mti
Halafu hapo kwenye jicho lake la kushoto kuna kitu bado sijakipa jina
 
Uso wa mtu
Pua ni mwanamke
Mdomo mzizi
Ndevu majani
Mawe mawili kwenye sikio
Shina na matawi ya mti
Halafu hapo kwenye jicho lake la kushoto kuna kitu bado sijakipa jina

Hongera asee umepatia patia ila hizo red tu umekosa rekebisha hapo...!.
 
Kama sio kisiki/ mzizi basi ni kichuguu

Umepata vyote mkuu bado kimoja tu asee.

Omba mtu akusaidie kiongozizi au nikupe mji kiongozi..?
 

Du hizi kope zake za macho na hasa hiyo ya kushoto
duh nakuja sasa hivi
 

Du hizi kope zake za macho na hasa hiyo ya kushoto
duh nakuja sasa hivi

Hahaa ulisema unakuja sasa hivi lakini haujarudi mpaka sasa hivi mkuu.............kope zikoje kwani kiongozi ?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…