Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
ha ha ha haa......! My wii ndio utusome wifi zako hivyoo maana atukawii kuwachamba mnapo tuzingua!!!!!!!!!!
haha my wii ntakuwaje makini,maana nisije fungua tu JF nakutana na li thread LOL!!!!!!!!!
Ndo kametoka sa izi. Wamekafirigisa hadi huruma. Uso umemshuka mtoto wa kiume anaonaje aibu? Koma ukomage. Chezea watoto wa mujini. Sasa naenda zangu lunch roho kwatuuuu!
Tupe michapo
Kufirigisa ndio kufanywaje? Tupia na picha yake wakati kana firigiswa.
hahahhahahahha hata mi nilitaka kuulizaTupe michapo
Kufirigisa ndio kufanywaje? Tupia na picha yake wakati kana firigiswa.
nimeisoma toka mwanzo lakini sijaielewa vizuri. Anasema kuna mfanyakazi mwenzie anamsingizia kuwa ni "chakula cha bosi"? Na kwamba huyo mfanyakazi mwenzie ni mtaalam wa computer, na ametumia utaalam huo kunasa mambo ya huyu dada? Labda sasa "chakula cha bosi" ameshtaki kwa bosi mwenyewe? Na wamemjadili kwenye kikao au labda wamemwadhibu huyo mtuhumiwa (ndiyo maana ya "kufirigisa")? Napenda kujua kama niko sahihi katika uelewa wangu. Na kama niko sahihi, nina maswali.
Maswali yangu ni: Matumizi ya madaraka hapa yakoje? Nani mkosaji hapa: Aliyemruhusu hawara kutumia computer ya ofisi kufanyia hayo madudu, au aliyemtaka huyo hawara kutoa "ushirikiano"?
ngoja nikuitie Da Sophy aje akupe maelezo
Nilichoelewa hadi sasa ni kuwa huyo bosi ni fisadi tu! Ndio maana nchi hii haiendelei.
mbona umekuja kishari its like ......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!