Umeona eeeh?

Da Sophy

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
388
Reaction score
162
Mtu mzima atishiwi nyau. Nipo nimejaa tele. Karibu ndani kama una maongezi na mimi unakaribishwa.
 
Ujio wako mbona wa verse moja..!?? wanakuja..

Nawasubiri. Uliona juzi yule mbulula alivojilipua na mbinu ya kizamani? Halafu wana-computer wenzie wa JF wakamwokoa kwa kufuta mashambulizi. Ningeua.
 
Hahhhahhaha,,..mbona umekuja kwa mikwara sana,,...angalia usije ukaangukia pua,,...ny way ur most welcome "da sophy"
 
mbona umekuja kishari its like ......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kanijia mtu na style ya kijijini. We ungefanyaje kavulana kakikutishia eti nimekuona umempa flani nipe na mimi la sivyo ntakinukisha?
 
Imo au imebaki kichelema tuu
 
Nawasubiri. Uliona juzi yule mbulula alivojilipua na mbinu ya kizamani? Halafu wana-computer wenzie wa JF wakamwokoa kwa kufuta mashambulizi. Ningeua.

Hapo chacha... JF ni zaidi ya burudaní...
 
Kanijia mtu na style ya kijijini. We ungefanyaje kavulana kakikutishia eti nimekuona umempa flani nipe na mimi la sivyo ntakinukisha?
Bhaa..!! chacha we kitu gani kun'yima mwenzio utamu, ulichopewa bure na Mungu kunnyima ntu dhambi...
 
Kanijia mtu na style ya kijijini. We ungefanyaje kavulana kakikutishia eti nimekuona umempa flani nipe na mimi la sivyo ntakinukisha?

Si unakapa tu,kanaenda zake na hizo style zake za kijijini!!!!!!!
 
Bhaa..!! chacha we kitu gani kun'yima mwenzio utamu, ulichopewa bure na Mungu kunnyima ntu dhambi...

Haya sasa kawekwa mtukati anajieleza kwa mkuu wake sa izi.
 
mmh!! Da Sophy na mwenzio nsee a muro juzi mliua mbaya. nilikaa opo nikajichekea hadi balaa.
ila leo tulia tena mwambie mwenzio nsee a muro asije manake mtafungiwa uzi tena. niliwapenda ghafla
 
Last edited by a moderator:

bas bas gfsonwin usipate kazi ya kuandika tena,ahahahhahahha kumbe ndo kilichojiri!
LOL!
enhe Da Sophy ikawaje?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…