Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,362
- 4,934
vipi yale mambo ya kila wiki ngomani?pakajimmy,
wanawake wa kisukuma
- ni wenye kuheshimu sana waume zao na wanaume kwa ujumla
- ni wachapa kazi sana
- ni wakarimu sana
- ni watiifu
- ni wenye ujuzi na mambo ya kujenga familia (wamefundwa)
- ni wazuri kimaumbile
- ni wajuzi wa kumridhisha mwanamume katika kila hali
duh tabu duh shida!
nimeolewa usukumani, hilo unalosema ni kweli kabisa, yaani vyasaka noma.
Usinambie shemeji yuko mbioni kumwagwa. Spidi yake naona kali kweli. Si msukuma yule?heeee usiniambie shostito kuna ka ukweli.........
hawa basi kama wasandawe, unaoa ukoo mzima
Mim siijui mila hata moja ya kabila yetu na hata kuongea hiyo lugha sifahamu.Iam born town na nimekulia tauni.Mambo ya makabila siyamind Kwa hiyo kila kabila kwangu ni poa tu,hata wachina na wajapan sawa tu.
yule shemeji yako ni msukuma (chapa ya ng'ombe) haswaaaaaaaaa!!!Usinambie shemeji yuko mbioni kumwagwa. Spidi yake naona kali kweli. Si msukuma yule?
He! Leo umeamkia upande gani?
Lost identity? which identity are you talking about? Ninaishi kama watu wengine ,ni mtanzania safi mwenye sifa zoooote.Nimekosa nini na nimepungukiwa kitu gani.Don't you think that you have lost your identity?
Lost identity? which identity are you talking about? Ninaishi kama watu wengine ,ni mtanzania safi mwenye sifa zoooote.Nimekosa nini na nimepungukiwa kitu gani.
Afu mie nakwambia hicho kizazi kinakuja kutakuwa hakuna makabila.Chukulia wewe msukuma na umeoa mnyakkyusa na mmekutana hapa dar.mmefanya kazi mpka mnakaribia kustaafu.Watoto wenu wote wako st naniiii.unategemea nini?
Hahahaha! LOLZ!
Acha nicheke. Hehehehehe!
Acha uchoyo bana!
heeee usiniambie shostito kuna ka ukweli.........
hawa basi kama wasandawe, unaoa ukoo mzima
π±π±!!!!!!!!!Don't you think that you have lost your identity?
Ebo tena? Siyo kitandani?kaamkia mujini huyu mama matesha wako.....hahaaaaaaaaaaa
Hivi Matesha wetu atakuwa kabila gani?Lost identity? which identity are you talking about? Ninaishi kama watu wengine ,ni mtanzania safi mwenye sifa zoooote.Nimekosa nini na nimepungukiwa kitu gani.
Afu mie nakwambia hicho kizazi kinakuja kutakuwa hakuna makabila.Chukulia wewe msukuma na umeoa mnyakkyusa na mmekutana hapa dar.mmefanya kazi mpka mnakaribia kustaafu.Watoto wenu wote wako st naniiii.unategemea nini?
Thats my mama Matesha! Akiamua utamkoma. Mi mwenyewe akiniamulia kama si jeuri ya valuu, naweza kulala barazani.umeamkia wapi tena.?????????
dadangu mimi endelea kumwaga mapweinti.......
nikutafute baadae??...hahaaaa..leo umecharuka kweli!!!!
yule shemeji yako ni msukuma (chapa ya ng'ombe) haswaaaaaaaaa!!!
biggy lakini nimependa boga na maua ntayapenda tu sina tatizo
at least I now know and I shouls expect mafungu kama si makundi ya wasukuma nyumbani kwangu.........
lakini mwanaume wa kisukuma anajua kupenda,anajali.....nakuombea upate msukuma dear hayo mengine ni vijimambo tu.
lakini mwanaume wa kisukuma anajua kupenda,anajali.....nakuombea upate msukuma dear hayo mengine ni vijimambo tu.
Lost identity? which identity are you talking about? Ninaishi kama watu wengine ,ni mtanzania safi mwenye sifa zoooote.Nimekosa nini na nimepungukiwa kitu gani.
Afu mie nakwambia hicho kizazi kinakuja kutakuwa hakuna makabila.Chukulia wewe msukuma na umeoa mnyakkyusa na mmekutana hapa dar.mmefanya kazi mpka mnakaribia kustaafu.Watoto wenu wote wako st naniiii.unategemea nini?
hilo ulitegemee 101%...
Taratibu dada. Utawakimbizia dada zangu wote usukumani! LOLZ!
nimeolewa usukumani, hilo unalosema ni kweli kabisa, yaani vyasaka noma.
Na hapo ndipo sisi wafia nchi tunaposema, Tanzania is a dying nation. Tunapoteza CULTURE yetu na ndio basi tena! Unakuta mtu anaitwa Miriam Gerald....sasa unajiuliza huyu ni mzungu au mwarabu? Hana identity!
Hata mzungu aliyetoka ughaibuni kuja hapa kutalii ukikutana naye unamwambia wewe unaitwa Josephine Williams anakucheka kimoyo moyo! Hata kama unaishi mjini basi angalau jina lako liwe na identity ya asili yako...!!! Na ndipo umuhimu wa kujua japo 'basics' za kabila lako na asili yake linakuwa la muhimu!