Kingine wanawake wa Kisukuma sio wabishi wanajua wajibu wao kama mama.
Wanafua kufuli zao na za waume zao si wabishi pale mnapo pangiana majukumu.
Lol, mzee wa zanzibar unauzoefu. Zenji wapo wasukuma?
..MKuu inakuwaje? Mimi nina fiancee wangu ni msukuma kwa baba na mama kazaliwa kijiji cha mwanamashimba, tarafa ya hungumalwa, wilaya ya kwimba wamehamia huku mjini Dar akiwa darasa la 3 hadi hii leo ukionana nae na kumsikiliza hakuna hata chembe ya usukuma..Umewasifia kwa mengi mno...ila wangu nimempenda kwa vigezo vyangu tu otherwise ni viumbe wa kawaida tu...punguza machejo!Kwanza ni wazuri kwelikweli. Wana maadili mema. Wanatambua nini maana ya ndoa na wanajua ku play roles zao. Sio wambea. Wanajua kupika. Wana akili. Hawana makuu. Ni wasafi kwelikweli. Sio walevi. Ni wavumilivu. Wana mapenzi ya kweli. Sasa kwa nini watu wasitake kuoa wanawake wa Kisukuma?
Fidel, dont tell me umeoa huko, maana otherwise usingekuwa na details za kiundani namna hii ..Basi hongera Mkuu
Niko fair kabisa. Nioneshe wapi nilipokuwa unfair maana wewe umeleta mada kuhusu wanawake wa Kisukuma na mimi nimechangia kuhusu wao. Hamna mtu anayecheza karata ya ukabila hapa. Umeleta mada na sie tumeanza kuchangia.
Dah mtoto wa Kisukuma akitabasamu meno yale dah alafu fizi zile yaani balaa.
Wanamiguu mizuri iliyo jaaa na kuumbika vizuri.
Wana nywele nzuri nyeusi tiii alafu ndefu wengi wanao fuga nywele hufuga mpaka zinadondoka mgongoni.
Tabia nyingine mbaya ya wasukuma ni ndugu jamaa na marafiki kujazana nyumbani,Pakajimmy ukioa msukuma jiandae kujenga nyumba kubwa kwaajili ya kupokea ndugu na marafiki kutoka ukweni.
..MKuu inakuwaje? Mimi nina fiancee wangu ni msukuma kwa baba na mama kazaliwa kijiji cha mwanamashimba, tarafa ya hungumalwa, wilaya ya kwimba wamehamia huku mjini Dar akiwa darasa la 3 hadi hii leo ukionana nae na kumsikiliza hakuna hata chembe ya usukuma..Umewasifia kwa mengi mno...ila wangu nimempenda kwa vigezo vyangu tu otherwise ni viumbe wa kawaida tu...punguza machejo!
Halafu hawapendi kujichubua na kujiharibu miili yao.
Mimi bahati mbaya niko mbali na mikoa ya kanda ya ziwa wanakopatikana wasukuma kwa wingi.Bahati nzuri jirani zangu ni wasukuma,sijawahi kuona wasichana vicheche kama wasukuma tena wanapenda kutembea na wanaume walioa wanachojali sana ni pochi yako tu.Labda tabia zao zimeathiriwa na malezi au kukaa mbali na sehemu ya asili ya wazazi wao.
Kitu kingine nilichojifunza kwa majirani zangu wa kisukuma ni kupenda ushirikina kupita kiasi.Kila baada ya muda mfupi kupita lazima walete mganga kutoka usukumani.
Tabia nyingine mbaya ya wasukuma ni ndugu jamaa na marafiki kujazana nyumbani,Pakajimmy ukioa msukuma jiandae kujenga nyumba kubwa kwaajili ya kupokea ndugu na marafiki kutoka ukweni.
Kitu kingine nilichojifunza kwa majirani zangu wa kisukuma ni kupenda ushirikina kupita kiasi.Kila baada ya muda mfupi kupita lazima walete mganga kutoka usukumani.
Tabia nyingine mbaya ya wasukuma ni ndugu jamaa na marafiki kujazana nyumbani,Pakajimmy ukioa msukuma jiandae kujenga nyumba kubwa kwaajili ya kupokea ndugu na marafiki kutoka ukweni.
Ukweli ndo huo ukioa msukuma wageni hawaishi,wasukuma ni wakarimu sana.Huh!
Lakini, waswahili walisema kila barabara murefu lazima inakuwa na kona!
Huenda kuna ukweli juu ya hili, japo wataalamu na wenyeji wa huko watatuambia vizuri juu ya hili!!
Yaelekea JF imejaza wasukuma tu...mnataka kutulazimisha tukubali hiyo misifa mnayowapa hao wanawake wa kisukuma...Ngoja. Na sisi wamang'ati tunakusanya nguvu tutalianzisha tu hapa tuone!!
Nacho wapendea zaidi ni warefu na wenye maumbo mazuri huku wakiwa na sauti nyororo zenye kumtoa nyoka pangoni. Kwa kweli ni warembo sana watoto wa Usukumani.