Ng'wanadotto
Member
- Feb 9, 2014
- 76
- 20
uzuri wa mtu ni jinsi macho yako yanavyokundanganya,hata utamu wa pipi ni mate yako
anajitambua,mpenda maendeleo, yani anasifazote za mwanaume wa kweli na pesa ipo
Napita
ngoja watitiririke sana hapa mjengoni nami nitajitiririsha baadaye
yapmm pesa tu akifulia hanipati