KIKUNGU
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 845
- 586
Mimi naamini Moyo "safi" unaomjua Mungu na Ukajaaliwa kupenda... Hata ukivunjwa na kua kama vipisi vya kioo kilichovunjwa huweza mend.... Na kupenda tena; Mda gani itachukua? Wa namna gani atependa? Inategemea na mtu na circumstances.... Mtu wa kuchukia moja kwa moja namna hio ni lazima ana tatizo. Hivo inawezekana; ila naweza sema ni bahati kwa yule ambae alijing'amua kwa huyo.
Ashadii hujambo jamani?Kuna kutendwa kwingine tema mate chini,kuna mtu alimwambia ex wake mbele ya hakimu kwamba " ....... hata ukisikia nimekufa kama watoto wetu wako kwako wape watu wengine watoto(maana walikuwa bado wadogo then) waje wanizike mimi baba yao ila wewe ukija mazishini sita-ZIKIKA".Sasa can you imagine huyo mtu katendwa kiasi gani mpaka aseme maneno hayo?