Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Habari zenu wadau!ebana kuna mmanzi mmoja aliwahi kuwa galfrd wangu wa enzi hizo,bt ilitokea tukatofautiana then kila mtu akaenda njia yake ila ye bado alikua ni kama ananilalamikia mie kuwa ndo chanzo cha yote,asa tukachuniana kwa muda kidogo ila leo nkashikwa na kiherehere cha kumtafuta,2kasalimiana fresh then nkamtania kwamba shemeji yangu hajambo?eti ye akanijbu kwa niliyomfanyia yalimfanya awachukie wanaume wote ulimwenguni.sasa najiuliza hvi inawezekana kosa la mtu mmoja limfanye mtu awachukie watu wa jinsia flani kias hiki jaman au ananizuga tu?