Karibu pacha!
You were missed,
And you know that,ryt?
Ndo ukae sasa thio kuondoka ondoka tu kuacha wendhio wanakumisiga hivo
Nikuletee nini?
Kuna chai,kahawa,maziwa ya moto au uji wa ngano ?
Kitafunwa je? yapo maamri,visheti,kabab,na skonsi za ufuta!
At your service pacha!
Duh...umejuaje?
napapenda sana A City...
Hiko ni kijapan maana yake nice to meet younimehisia tu kwa sababu hata mi naupenda sana huo mji so nahisi labda wengine pia wanapapenda ndo maana nikajaribu,nimefurahi kupatia my kaka naomba basi nijipigie makofi:cheer2:na naomba basi unitransletie.
Naona humtakii mema white masai, ngoja huyu mmasai mwenzie mori upandeUSIKU MWEMA MWANA Phlagiey..
hmm... we nice v wewe! hebu acha hizo bana..! unajua mwenzio nimeshalizwa kwa Aminata mrembo, nikajua mtoto wa kike kumbe ni kidume aisee!...Please kaka usifanye hivyo mi ntalia mwenzio, nimekuja humu muda si mrefu but nishakuzoea jamani dia...ukiniacha mi nitalia...Ukienda nitabaki naumia ooh jamani usiondoke. loving u much EXCEL.
kwani linapokuja kwenye suala la kukutanisha vikojoleo kuna mori tena?Naona humtakii mema white masai, ngoja huyu mmasai mwenzie mori upande
vioo vitavunjika hapa....
Excel vipi tena hapa? Mbuzi kafia kwa muuza supu au?hmm... we nice v wewe! hebu acha hizo bana..! unajua mwenzio nimeshalizwa kwa Aminata mrembo, nikajua mtoto wa kike kumbe ni kidume aisee!...
Eli79, unaona hii kesi bwana mdogo?. mtoto wa watu akifa ujue excel ndo chanzo! lolest..
cc. Mr Rocky, Tized, Mndengereko, utafiti, mwekundu!... hebu mchungeni mgani wangu bana! msimbazazi mpaka nitakaporudi aisee.. lol!
kwani linapokuja kwenye suala la kukutanisha vikojoleo kuna mori tena?
hebu kamataneni mikono bana mkatuongezee idadi ya watoto ati!
Phlagiey atakuwa performer mzuri tu, so tegemea mavuno mazuri pia!
hmm... we nice v wewe! hebu acha hizo bana..! unajua mwenzio nimeshalizwa kwa Aminata mrembo, nikajua mtoto wa kike kumbe ni kidume aisee!...
Eli79, unaona hii kesi bwana mdogo?. mtoto wa watu akifa ujue excel ndo chanzo! lolest..
cc. Mr Rocky, Tized, Mndengereko, utafiti, mwekundu!... hebu mchungeni mgani wangu bana! msimbazazi mpaka nitakaporudi aisee.. lol!
hmm... we nice v wewe! hebu acha hizo bana..! unajua mwenzio nimeshalizwa kwa Aminata mrembo, nikajua mtoto wa kike kumbe ni kidume aisee!...
Eli79, unaona hii kesi bwana mdogo?. mtoto wa watu akifa ujue excel ndo chanzo! lolest..
cc. Mr Rocky, Tized, Mndengereko, utafiti, mwekundu!... hebu mchungeni mgani wangu bana! msimbazazi mpaka nitakaporudi aisee.. lol!
Haki ya mama udalali wa mapenzi unauweza
akininanii shauri yako we ndo umenambia nifanye hivo
ahsante kwa kunielewa hapa jukwaani mimi Mndengereko ndo mtu mzuri na huwa sina makuu na huwa nawafanya mara nyingi wageni wajisiikie wapo nyumbani so karibu uwe rafiki yangu na uenjoy kunifahamu.Teh teh teh pouwa nimekuelewa nitakua makini