Umeniandika

I am shaken na jambo la Shy . Hakuwataja siku zote na leo kaamua kuandika . He went far a little deep kasema mmoja wapo ni Dr.Je haogopi tena kutishiwa na kukamatwa weekend hii ?

KWASASA NIMEHAKIKISHWA USALAMA WANGU KWAHIYO NI HAKI YANGU KAMA KUWATAJA AU NISIWATAJE LAKINI KAMA UNAVYOJUA KUNA HAO WANAJF WALIOKAMATWA HAPO JUU SIJUI KAMA KUKAMATWA KWAO KUNA HUSIANA NA ILE YANGU AU LA KAMA

LAKINI KAMA UNAVYOJUA TARATIBU ZA KIUPELELEZI HUWEZI KUTOA TAARIFA WAKATI UCHUNGUZI MWINGINE UNAFANYIKA WENGI HAPA WANATAKA KUJUA KINACHOWASIBU HAO VIJANA WACHA IENDELEE HIVYO NA IWE HIVYO SIPENDI KUINGILIA MADA HIYO KAMA MWAFRIKA WA KIKE ANAVYOSISITIZA

INAONYESHA WENGI NI WAOGA SANA HAPA WANASHINDWA KUJITOKEZA KUTETEA MASILAHI YAO NA HAKI ZAO ZINGINE MPAKA HAPO WATAPOKUJA KUKURUPUSHWA NA NONDO KUTOKA MAJUMBANI .
 
Unatuchafua SHY.Usije ukawa ni agent wao maana maneno yako sasa yanaelekea kuvuka mipaka .
 
Hapana Kwa Hakika Mimi Sio Agent Wao Na Hata Uagent Siuwezi Sina Mafunzo Hayo Na Sina Vibali Vya Kufanya Shuguli Hiyo Kwa Hakika .

Kama Nilivyosema Hapo Mwanzo Mimi Nilikuja Kutolewa Na Askari Jeshi Na Usalama Wangu Nimehakikishiwa Toka Kwa Askari Jeshi Hata Hawa Vijana Ningeweza Kupata Taarifa Zao Au Majina Yao Ningeweza Kuongea Nao Moja Kwa Moja Kupitia Kambini

Hata Hivyo Bado Niko Mjini Na Hapa Ni Karibu Sana Na Mambo Ya Ndani Kama Ikitokea Chochote Nitakimbilia Hapo Tu Kwenda Kuona Au Kusema Chochote

Jioni Njema
 
Nasema Waoga Kwa Sababu Hakuna Anayedhubutu Kutia Mguu Pale Mimi Nimeenda Na Kuongea Na Baadhi Ya Watu Katika Wizara Hiyo Wakasema Wao Sio Wasemaji

Kwani Taarifa Hii Imekuja Hapa Saa Ngapi Na Wengi Wetu Tuko Mjini Hapa Ni Rahisi Kwenda Pale Bila Woga Wowote , Mfanano Nimeulizwa Majina Yangu Nikawatajia Mpaka Namba Zangu Za Simu

Nimesema Hao Ni Ndugu Zangu
 
FD,na wewe umekaa kimya muda wote huo baada ya kutokea kwa hilo suala husemi, mpaka yamemkuta shy amesema na wewe ndiyo unaleta ya kwako. Hongera kwa kumtaja jina live huyo mhusika hapa ubaoni kama kawa at JF we dare to talk openly. Kama wameaanza mchezo huo inabidi watuzimishe wote wanaJF,is difficult to win Guerilla war. How can you target all JF members all them together? Hapa we speak freely. Shy tunaomba majina yao tafadhali? na vituo ambazo vimekuwa vikitumika kuwashikilia SHY na FD
Wewe vipi?Hivi kweli umeamini tamthilia hii?Ukiwa mzembe wa kuchambua mchele utaishia kula wali wenye chuya.
KWASASA NIMEHAKIKISHWA USALAMA WANGU KWAHIYO NI HAKI YANGU KAMA KUWATAJA AU NISIWATAJE LAKINI KAMA UNAVYOJUA KUNA HAO WANAJF WALIOKAMATWA HAPO JUU SIJUI KAMA KUKAMATWA KWAO KUNA HUSIANA NA ILE YANGU AU LA KAMA

LAKINI KAMA UNAVYOJUA TARATIBU ZA KIUPELELEZI HUWEZI KUTOA TAARIFA WAKATI UCHUNGUZI MWINGINE UNAFANYIKA WENGI HAPA WANATAKA KUJUA KINACHOWASIBU HAO VIJANA WACHA IENDELEE HIVYO NA IWE HIVYO SIPENDI KUINGILIA MADA HIYO KAMA MWAFRIKA WA KIKE ANAVYOSISITIZA

INAONYESHA WENGI NI WAOGA SANA HAPA WANASHINDWA KUJITOKEZA KUTETEA MASILAHI YAO NA HAKI ZAO ZINGINE MPAKA HAPO WATAPOKUJA KUKURUPUSHWA NA NONDO KUTOKA MAJUMBANI .

BWANA SHY,HIVI TUKIANZA KUKUHISI KWAMBA NAWE NI MMOJA YA MEMBERS WA ANTI-JF MAFIA TUTAKOSEA?WASIFU WAKO UNATOSHA KABISA KUMPA WASIWASI MWANA-JF YEYOTE ANAYEJALI USALAMA WAKE (KWA ANAYEDHANI SIMTENDEI HAKI YONA MARO,JUST "GOOGLE" THE NAME,AND SEE THE RESULTS).UMEKUWA UKIJITAMBULISHA KUWA WEWE NI FREELANCE JOURNALIST,BUT NADHANI YOU IN FACT ARE A FREELANCE ATTENTION-SEEKER.DARING TO PUT YOUR REAL NAME COULD BE INTERPRETED AS A BRAVE ACT,BUT IT COULD MEAN MORE THAN THAT.

HAIINGIA AKILINI KWAMBA KILA HABARI UNAYOKUJA NAYO NI YA KIZUSHI.KINACHONITIA HOFU ZAIDI NI TABIA YAKO YA "KUONYESHA TRELA" KISHA UNAPOTEA THEN UNAKUJA NA "NUSU MUVI" NA MWISHO WA FILAMU HAIJULIKANI "STELINGI"NI YUPI.NAJUA KWANINI UNAFANYA HIVYO:UNAVUTA HISIA ZA WATU WENGI,HOPING WAKIINGIA HAPA KWA WINGI UNAWEZA KUBAHATIKA KUFANYA PHISING.

WANA-JF,WAKATI WENGI TUKO MAKINI KUHAKIKISHA NCHI YETU HAIUNGUZWI MOTO NA MAFISADI,NI WAJIBU WETU PIA KUHAKIKISHA KUWA USALAMA WETU BINAFSI HAUATHIRIWI NA VIUMBE HATARI WANA-DARE KUJI-MIX NASI KWA NIA YA KUTUHUJUMU.
 
Back
Top Bottom