Umemuelewa vipi January Makamba?

Mkuu mtuu akisoma hii maelezo yako atajua kabisa wewe ndiyo una msongo wa mawazo zaidi
 
Wapenzi wa Magufuli tukutane hapa
Ingekuwa vema mkawa pia wpenzi wa taaifa Tanzania. pengine nyie ni vijana na siku akirudi kwa baba hamtakesha kwenye grave au mkachonga sanamu kulisujudu! basi ingefaa mkajiandaa kujenga taasisi mkaipa jina lililo kuu TZ
 
Ndo maana Jiwe anahangaika tu na Polisi sasa hivi
 
Huyu na haya mafumbo yake ni wa kutumbua tu!
 
na sisi Mourinho wetu anaishia lini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…