Umeme

P I M

Senior Member
Feb 16, 2011
139
24
Kikwete alienda marekan akaona jengo 1 halina umeme, akamuulza obama
"vp na nyie huku mna mgao wa umeme"
obama akajibu,
" ule ni ubalozi wa tanzania"
 
tuna wasanii wa aina nyingi sasa bongofleva inafanywa na viongoz kama akina prezdah:mullet:
 
Back
Top Bottom