Umeme

Umeme

P I M

Senior Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
139
Reaction score
24
Kikwete alienda marekan akaona jengo 1 halina umeme, akamuulza obama
"vp na nyie huku mna mgao wa umeme"
obama akajibu,
" ule ni ubalozi wa tanzania"
 
hahahahaha. u made it. gud one:A S thumbs_up:
 
Gud,ndo ajue nchi makini haiendeshwi kwa kucheka cheka,lol ..
 
tuna wasanii wa aina nyingi sasa bongofleva inafanywa na viongoz kama akina prezdah:mullet:
 
Back
Top Bottom