sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,539
- 9,462
Amekereka kwa kuwa hiyo ni hongo ya kulinda muungano, iweje leo walazimishwe kulipa..?Amechukia ukweli alipe deni hata kama lina miaka ishirini ni deni tu linatakiwa lilipwe amekereka nini?
Amekereka kwa kuwa hiyo ni hongo ya kulinda muungano, iweje leo walazimishwe kulipa..?Amechukia ukweli alipe deni hata kama lina miaka ishirini ni deni tu linatakiwa lilipwe amekereka nini?
Ivi tuongelee ukweli tanesco inazalisha umeme kwa ngarama kubwa..Natoa rai fupi lakini muhimu kwa viongozi wa kiserikali na kichama (CCM) kuhusu suala ya deni la umeme la Zanzibar. Suala hili linapaswa kufanyiwa kazi kwa umakini na uangalifu mkubwa. Suala hili laweza kuvaa sura ya suala la kimuungano na hivyo kusumbua.
Wakuu wetu wawe macho na makini katika hili, nasisitiza bila kuchokoza. Yawezekana kabisa, kwa ninavyowajua Wazanzibari, umeme ukazimwa pamoja na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa mwaka 1964. Nimelitazama suala hili katika jicho la tatu.
Mwafaaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wa TLS)
hahaha, viongozi wenyewe ndo akina salim jecha huo muungano utadumu as long as akina jecha wapo madarakaniNatoa rai fupi lakini muhimu kwa viongozi wa kiserikali na kichama (CCM) kuhusu suala ya deni la umeme la Zanzibar. Suala hili linapaswa kufanyiwa kazi kwa umakini na uangalifu mkubwa. Suala hili laweza kuvaa sura ya suala la kimuungano na hivyo kusumbua.
Wakuu wetu wawe macho na makini katika hili, nasisitiza bila kuchokoza. Yawezekana kabisa, kwa ninavyowajua Wazanzibari, umeme ukazimwa pamoja na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa mwaka 1964. Nimelitazama suala hili katika jicho la tatu.
Mwafaaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wa TLS)
Hilo tayari lipo kwenye category of bad debt. 20 years si masihara.Tanganyika haina ubavu kuikatia umeme Zanzibar, kama deni ni zaidi ya miaka 20.
Kwani kunatatizo gani kuivua mbeleko inayokupa kero?Natoa rai fupi lakini muhimu kwa viongozi wa kiserikali na kichama (CCM) kuhusu suala ya deni la umeme la Zanzibar. Suala hili linapaswa kufanyiwa kazi kwa umakini na uangalifu mkubwa. Suala hili laweza kuvaa sura ya suala la kimuungano na hivyo kusumbua.
Wakuu wetu wawe macho na makini katika hili, nasisitiza bila kuchokoza. Yawezekana kabisa, kwa ninavyowajua Wazanzibari, umeme ukazimwa pamoja na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa mwaka 1964. Nimelitazama suala hili katika jicho la tatu.
Mwafaaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wa TLS)
Hii imekaaje ...wateja wanailipa ZESCO alafu ZESCO haiwakilishi malipo TANESCO!? (inaziweka wapi sasa!)
Au ZESCO inawakopesha wateja wake na ndio hawalipi!? (sasa hawajiulizi umeme huo unatoka wapi)
Kama kweli muungano ni upande mmoja kulipia umeme na upande mwingine lakini matumizi wote watumie sawa kweli pana haja ya kuungana hapa!?
kwa hivyo watanganyika tuendelee kuumia kwa manufaa ya ccm na makaburi yao? I hate ccmSerikali ivumilie tu zanzbar watumie umeme bure yaani wakikomaa muungano uttaishia hapo muungano ukikoma ccm visiwani kwishnei CUF itatawala viongoz wa ccm wote wataishi uhamishoni
Hilo ndo neno la ukweli na muda utasema!Kamwe Zanzibar haiwezi kukatiwa Umeme hata wasipolipa.
"I am my fathers daughter, I may not look like him but if u look at me closely u will see I am exactly what he intended me to be. I raise my voice n speak my mind, I call a spade ♠ a spade ♠ n I am bold enough to face my fears head on!.... Tatizo la kukatiwa umeme kwa kutolipa deni ni la serikali n sio la wananchi kwa sababu wananchi wanalipa huduma hizo on a prepaid system. Kama Deni ni la miaka 20 nyuma ilikuwa litafutiwe ufumbuzi wakulilipa au utafutwe ufumbuzi wa umeme mbadala n sio kutwambia turudi kwenye vibatari. Zile pesa wanaolipa wananchi zinaenda wapi?? Kama mlikuwa ndo mnaendeshea nchi then it clearly shows hii nchi imekushindeni n wala hamna uchungu nayo nahisi it will be a wise solution to take the reins to its rightful leader.... those reins clearly do not belong to you at all. A good leader always leads by examples n always finds permanent solutions to his problems, n is not afraid to face his fears head on. He doesn't dodge or play the blaming game or even shift them blame he take ownership of his problems n stays true to his principles n beliefs.... Haya mtoto wa mwisho wa karume ndo nshasema .... if the hat fits then wear it.... jiwe limerushwa hiloooo likikupata utajijuuuuu."Orodha yako ina mashiko, hivyo peleka malalamiko yako ofisi ya makamu wa rais muungano yatashughulikiwa ipasavyo. lakini umeme ni biashara inayopaswa kulipiwa kama ambavyo tanesco wanawalipa wazalishaji umeme. kama ZESCO imeshindwa kukusanya ankara za umeme, TANESCO wabebe jukumu hilo kupata fedha za kuwalipa IPTL, AGREKO,SONGAS na wazalishaji wengine
Hata hiyo asilimia 4% Zanzibar hawalipwi. Wanafanywa wenza mabwege kabisaNchi ya ajabu hii, bandari Muungano, Utalii Muungano, Foreign currency muungano, halafu mpunga unashikilwa na Watanganyika, Zanzibar ikisubiri kamgao ka asilimia 4..?????????
Umeme hauzimwi, kwqa vile Tanganyika ya CCM haina ubavu.Nadiriki kusema kwamba mzee Tupa tupa uzi wako utakuja kukumbukwa sana pindi umeme ukizimwa Zanzibar Yetu Macho.
Yameshatokea huko nyuma na wakajaribu kukata. Ilichukua masaa machache tu Umeme umerudishwa tena kwa Fedhheha. Baraza la Wwakilishi walimwya Waziri alikuwa na dhamana ya Umeme kuwa hana adabu na anastahili kupigwa mikwaju/ Waziri alipoteza nafasi yake na kisiasa kabisa!Magu ana dharau.angekaa nae wakaongea
Hakukuwa na haja ya kutangaza.
Magu awaombe radhi wazanzibar la si hivyo wana mapinduzi watampindua pale alipo,hivi amesahau ule msemo "dhumari ikipigwa zanzibar hadi mrima inatikisikia"Lazima ajibu kwa jazba, more than 95% ya zeco customers wapo kwenye prepaid plan, hela yote sheni na Serikali yake wanalipana mshahara, Wanadai tra wanasomba hela yote ya tax, so wanakula kule tunakula huku, wakimwaga mboga tunaondoka na ugali.
Tulia Magu ataomba radhi tu.
Natoa rai fupi lakini muhimu kwa viongozi wa kiserikali na kichama (CCM) kuhusu suala ya deni la umeme la Zanzibar. Suala hili linapaswa kufanyiwa kazi kwa umakini na uangalifu mkubwa. Suala hili laweza kuvaa sura ya suala la kimuungano na hivyo kusumbua.
Wakuu wetu wawe macho na makini katika hili, nasisitiza bila kuchokoza. Yawezekana kabisa, kwa ninavyowajua Wazanzibari, umeme ukazimwa pamoja na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa mwaka 1964. Nimelitazama suala hili katika jicho la tatu.
Mwafaaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wa TLS)
Hati ya muungano unayo??Mzee Tupatupa, hakuna njia za kisheria za kuvunja muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kuwa Hati ya Muungano haina kipengele cha kufanya hivyo. Bila shaka jaribio lolote la kuvunja muungano linapaswa kutafsiriwa kama uhaini. Tanesco kumkatia umeme mteja wake aliyekaidi kulipa bili ya umeme ni utaratibu wa kawaida tu wa kiutendaji.
Msemo huo sasa umebadilika, " Kigodoro kikipigwa Tanganyika, Zanzibar wakata viuno""dhumari ikipigwa zanzibar hadi mrima inatikisikia"
Kweli kabisa, yaani umepita mjadala mkali wa bashite humu jukwaani bila mzee tupatupa kuwepoHahahaaa tupatupa umepotea sana