VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Natoa rai fupi lakini muhimu kwa viongozi wa kiserikali na kichama (CCM) kuhusu suala ya deni la umeme la Zanzibar. Suala hili linapaswa kufanyiwa kazi kwa umakini na uangalifu mkubwa. Suala hili laweza kuvaa sura ya suala la kimuungano na hivyo kusumbua.
Wakuu wetu wawe macho na makini katika hili, nasisitiza bila kuchokoza. Yawezekana kabisa, kwa ninavyowajua Wazanzibari, umeme ukazimwa pamoja na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa mwaka 1964. Nimelitazama suala hili katika jicho la tatu.
Mwafaaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wa TLS)