figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,853
- 63,381
Here comes again Rostam Aziz. Huyu Shamte si ndo mojawapo wa watu walioinjinia ukwapuaji wa pesa za EPA kupitia Kagoda? Halafu wanasema jamaa hawa wako kwenye mbio za kufanya mazungumzo na TANESCO. Naona Richmond na Dowans zinaendela kurudi kwa njia nyingine. Eeeeeh MUNGU wa mbinguni tuepushe na hawa mafisadi.
Hatuwezi kufika kwa mpango huu!Ngeleja amehakikishiwa na mkweree kuwa aendelee kudunda hakuna noma, hivi sasa yuko Uingereza akula bata na akirudi anakwenda kuchukua Mercedes Benz yake aliyoagiza kwa specification zake pale D.T dobie pugu road!! Nchi hii nzuri kwa mafisadi!!
Si ndio huyu huyu Shamte wa 6Telecoms na Push Mobile ambaye The Guardian ili trace toka kwake zile hate SMS za Udini (kuwa Chadema na CUF ni wadini)wakati wa 2010 Election Campaigns?