FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,801
- 46,923
Mkuu hata kwa sayansi ya darasa la saba tu unaweza kugundua kuwa haiwezekani umeme kuwa wireless.Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-baka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL. Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-bake yenyewe hadi kufa!
Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-baka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL. Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-bake yenyewe hadi kufa!
Niambie radi hutumia wire upi?!Mkuu hata kwa sayansi ya darasa la saba tu unaweza kugundua kuwa haiwezekani umeme kuwa wireless.
Kila kitu kinaweza kuwa moderated na kuwa safe (waulize mods wanajua hili)Haiwezekani kusafirisha nguvu ya umeme hewani kama radi, maana sio salama.
"imposible"haiwezekani kwa umeme!
Ni ngumu sana umeme kuwa wireless, Electric charge lazima zisafiri kwenye kitu ambacho kinapitisha hizo charge, Hewa hutumika kama kikinzani (resistance) tena ni resistance kubwa sana, unapokuwa na gap dogo tu la kama 0.1mm linatosha sana kukata umeme hasa huu umeme mdogo, kwa hiyo unapokuwa na gap la kama 5km kutoka kituo kimoja hadi kingine ukinzani wake ni balaa na kama kuna nguvu ya umeme itapenya hapo maana yake viumbe hai vilivyopo katikati ya hivyo vituo vitakufa vyote maana haviwezi kuhimili hiyo nguvu.