Umeme Wa mradi

Spark Gap

Member
Jan 4, 2016
62
20
Habari za wasaa huu Nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo Hivi hawa Wanaopitisha umeme wa Mradi yani Rea gharama za kuingiziwa umeme ni sh ngapi? Je nina uhitaji wa kwenda kuchukua kadi tanesco na kumuambia fundi wangu aandae mchoro na kutafuta contractor wa kusaini Hio kadi Au?
Cc Koleba
 
Subiri wataalam wanakula afu wakimaliza kula watakuja muda si mrefu, kwahiyo endelea kuvuta subira utajibiwa.
 
Back
Top Bottom