Mwasiti Nadhan kwenye thread ulioleta umeona ukweli ulopewa kuwa mbagala hakuna siku umeme wakatika.Hadi kesho tena? Zima hio generator Sasa
Najua inakuuma ila kataa kubali kama hautaki jichinje.Sijawahi kuona Mtanzania alikikubali upungufu wake...endelea kugurumisha generator.
Jamaa wanafki ninyiiii!!
Poleni sana Dar hakuna mgao wa umeme kwa sasa.
Ninspoishi ni zaidi ya mwezi umeme haujawai katika zaidi ya dkk5. Maeneo mengine ya mini LA DSM pia kwa miaka ya hivi karibuni hali ya upatikanaji wa umeme umeimarika sana.
We jomba tulia bana....mwenzako mbna kafunguka tu...labda useme kuna mitaa inapendelewa km hko unapoishi wewe...
Nyani wa kitanzania kawaida yake yeye haoni kundule lake chafu zaidi.Aisee, nchi yenye ukanda wa bahari inakosa wapiga mbizi? Somalia wachukue tu bahari yote sababu inaonesha wakenya wanaiogopa hata kufanyia mazoezi ya kijeshi, jamaa wapo hovyo kila idara
Yaani huwa kila kitu lazima mfanye mashindano 😂😂😂Nyani wa kitanzania kawaida yake yeye haoni kundule lake chafu zaidi.
![]()
Jina ndio mnabadilisha kutoka kwa mgao wa umeme Hadi kupotea kwa umeme 😂😂😂Najua inakuuma ila kataa kubali kama hautaki jichinje.
Sikatai kipindi cha Kikwete nilikua nikitukana sana kwa umeme kukatika hovyo na biashara zangu kudorora kwasababu ya kutegemea umeme.
Lakini Magufuli tangu aingie umeme haukatiki mpk kuwe na tatizo la kiufundi na hauchelewi kurudi ukikatika yani maximum masaa manne mpk tano basi.
Lakin haizidi hapo na mnaweza kukaa mkasahau umeme umekatika lini na hakuna mgao wa umeme kipind cha Magufuli.
Wewe unaleta habari za kikwete kama hutaki meza wembe Dar hakuna mgao wa umeme.
Wewe kam hutaki jichinje km wale wahitimu wa vyuo huko kwenu wanao commit suicide kisa ukosefu wa ajira.Jina ndio mnabadilisha kutoka kwa mgao wa umeme Hadi kupotea kwa umeme [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Hasira karibu ulie juu ya ukweli wasumeme mgao Tena Dar es salaam. Wacha nigajichinje nijitoe kafara angalau Kama mgao utakwisha hapo Dar 😂😂😂Wewe kam hutaki jichinje km wale wahitimu wa vyuo huko kwenu wanao commit suicide kisa ukosefu wa ajira.
Lakini umeme Tz hususan Daresalam sio wa mgao.
Bali hukatika mara moja moja sana eidha week tatu mpk mwez ndio unaweza katika kwa matatizo ya kiufundi na huchukua maximum masaa manne tu unarudi.
Hakuna mgao Tz wewe baki kujifariji hutaki jichinje.
kwani hao wa kujitolea ni wa nchi gani?😂😂😂 kafungua alafu anajikomentisha wa kwanza bahat Nzuri akakutana na za uso,
Alafu mkuu umeona kenya navy hawana wapiga mbizi asee hadi aibu imebidi wapiga mbizi wa kujitolea ndio wanataka wajitolee kutoa lile gari lililozama alafu wako busy hapa kufungua nyuzi za kipumbavu.
MGAO GANI ULIOPO DAR YA TZ AU NAIROBI LABDA NDO KUNA COUNT YA DAR ILA DAR ES SALAAM YA TZ HAKUNA MGAO KWANZA UMEME UKIKATA TUNASHANGAA KWA NN UMEKATIKA NA HADI TANESCO LAIN ZAO ZA CM ZINAKOMA
Jama kavaba kweli, kachukua heading tu ila kilichomo hajakisoma 😀Kwangu mbona umeme upo na sijasikia ukikatika?
Kasome comment za ule uzi.