mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Ni Nini kinachoendelea Dar es salaam/Tanzanian haswa upande wa umeme kupotea kila wakati Hadi generators zimekuwa zikiguruma kila siku Hadi kwa vinyozi.
Tumekuwa tukiimbiwa vile umeme upo 70% kwa wananchi kumbe Hali Ni tofauti kwa wananchi tukiyawacha ya kwenye makaratasi.
Tumekuwa tukiimbiwa vile umeme upo 70% kwa wananchi kumbe Hali Ni tofauti kwa wananchi tukiyawacha ya kwenye makaratasi.